Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ni takataka tu, your days are numbered, damu ya Ben Saanane inakulikia na utakufa kifo kibaya sana.Nje ya siasa nilazima kila Raia wa Taifa hili ajuwe yeye na kizazi chake crime is dangerous and it can end you are life.
Nimeweka hii video kuonyesha vile huko Kenya watu walikuwa wana uwawa live kwa uhalifu.
Hatuwezi kuruhusu Taifa hili kuwa lamajangili ni hatari kwa uwepo wetu. Uhalifu wa aina yeyote hauwezi vumiliwa. Yaani kama mnafikiri huyu mama mtamgeuza kama chapati basi msije jishangaa mkageuzwa kama chapati.