Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Kwanini iwe nchi ya namna hiii?


Hata mimi najiuliza hivyo aisee?!
Kwanini nchi ifike hali ya kutisha hivi ?
😭😭
Hapana Mwenyezi Mungu usikae kimya jamani ingilia kati ujuavyo utuokoe na vizazi vyetu 😭😭
Usalama uko wapi ?? 🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Uhuru ambao Samia amempa Mafwele, utazidi kuwamaliza watanzania. Mwisho wa haya ni mpaka Watanganyika waamke na kumwambia Samia aende kwao. Huu uharamia ameubariki huku Tanganyika, kule kwao husikii huu ushetani.


Yaani inasikitisha mno jamani woooiii 🙆‍♂️🤦‍♀️😭😭
Eeeh Mwenyezi Mungu sikia kilio cha watanzania uwaokoe sasa @ Baba.
Eeeh Mwenyezi Mungu usikae kimya!
 
Hivi unaelewa kwa ufasaha kabisa juu ya suala hili unalojaribu kulizungumzia hapa?
Fanyeni mazoezi, we zuzu kuna gaidi uliwai kumuona kafanya ugaidi kwa kutumia karate, au panga, au mshale??? Fanya mazoezi uwe fiti kwa faida yako jinga wewe, ndio nyie panya road wakivamia mnakimbia wote kama watheenge,au kibaka tu dhaifu anakusumbua unakimbia, we aliyekuambia mazoezi ya karate ni ugaidi nani? Au kutembea na bisibisi au kisu cha mkunjo ni ugaidi nani?
 


Nimekuelewa.
Hata Maandiko Matakatifu yameandika kuhusu mwanamke akiwa Mchawi Kwamba huwa Katili maradufu kuliko Mchawi Mwanaume .
Wanasema hata jambazi au Gaidi akiwa mwanamke huwa katili maradufu ya katili Mwanaume .
Tumlilie Mwenyezi Mungu 😭😭😭
 
Ndiyo maana wavaa makobazi wengi wanacheza karate.
Msicheze karate inafanya ugaidi eti, Sijui nchi gani Gaidi alitumia karate kulipua jengo la bishara marekani, au kenya,, fanyeni mazoezi muwe fiti acheni propaganda za mashoga wa ulaya, wanataka muwe dhaifu mgeuzwe mapunga
 
Wale masheikh wa Uamsho walikuwa wakristo wa dhehebu gani?

Hakuna wakati mgumu kama kujadiliana hoja na watu wasio na elimu ya kutosha, hata ya kujitambua wenyewe. Mtu ameenda kurusha mateke uwanjani, basi anajiona ashakuwa komandoo.
Anaweza kumshinda kila mtu. Sishangai Kinjekitile Ngwale aliwalaghai wale wajinga wenzake wajipake matakataka ya kuzuia risasi.
Nasifu jasiri wake na natambua ufinyu wa uelewa na elimu yake enzi zile. Ila nashangaa mbinu kama zile zilizoongozwa na ujinga, baadhi ya watu wanazitumia mpaka leo.
 


Itaonekana kama unatumika kutisha watu kuwakatisha tama wasitafute kujilinda ?!
Kwa hiyo wataua halaiki kwa wakati mmoja ?
Familia nzima ?
 


Eeeh Mwenyezi Mungu weee 😭😭😭🙆‍♂️
 
Halafu na picha zote hizi hawajulikan aisee
 
Tena nyumbu haswa inashangaza sana watu wameshika kiuno kabisa utazani wanaangalia filamu, kama unauwezo pale walipo simama unawamwagia upupu nyumbu hao wakufugwa!
 
Wanaoteka wanajulikana na polisi hawana la kuwafanya. Huyo ahamie mikoani.

Ahamie mkoani au nje ya nchi akafanye maisha yake huko na familia yake.?!
Achague nchi yenye ahueni wonne kama mkimbizi na akaoneshe hiyo sauti ya kuambiwa na bado …… ubalozini
Ingawa ni mtihani mkubwa utakuwa kwake jambo ambalo hajawahi kulifikiria ktk umri huo alonao.
Ingekuwa kijana Mdogo ni rahisi na ingekuwa ni fursa kwake.
 
Bora hata sura Ili Kila mtu awatambue na ajue jinsi ya kumalizana nao mtaani.

Kwa hali kama hii uchawi ni muhimu sana maana huna Dola hata uchawi tushindwe?


Kabisa !
Jamaa inabidi awawahi yeye kabla hawajammaliza yeye kama walivyojiapiza.
Hiyo ni vita kwake.
Awahi kuomba hifadhi ya ukimbizi.
Lakini itaanza kujua Tanzania imefikia hapo ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…