Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Mbona kama Mc BIG huyo mtekwaji
 
Ajira zingine, ni laana tupu kwa vizazi vyao. Unajisikiaje unapoona mtoto analia kwa uchungu kaburini kwa baba yake uliyemuua jana tu. Au mkewe mjane mjamzito anayezimia akimlilia mmewe uliyemuua aliyekuwa msaada wake pekee maishani.
 
Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Mkuu usidhani tukio la Utekaji linakuwa jepesi sana kiasi hicho unachofikiri wewe.

This is an organized. Well calculates crime gang.

Wakati wanatekeleza kuna kuwa na kundi lingine pembeni linalohakikisha wananchi hawaongilii kati. Hili ni kundi linakuwa Equiped na zana mbali mbali kwa ajili ya defence na Threatening ya Umati.

Unaweza kuingilia ukashangaa ubongo unafumuliwa hapo hapo.

Ukiona Noah kama hiyo waweza kuta mbele kuna boda boda watu wawili watatu wamebebana( watch Men)
 
nimesikia tutakupata!!,....ila hao wananchi waoga. ingekuwa mimi bora niwe na kesi ya kuchoma gari ya mtu...nikikuta tukio silielewi elewi nachukua kiberiti nawasha moto gari ili wasikimbie tupambane tu hapo....tujuane zaidi πŸ™πŸ™πŸ˜•
 
Haya mashetani hayana hata hizo hisia. Yenyewe yanafurahia kwa sababu yametimiza maagizo ya aliyewatuma. Na aliyewatuma, mara baada ya kifo atajifanya kutoa pole. Mkishatulia, atawaambia kuwa hicho ni kifo kama vifo vingine.

Mwanamke huchukuliwa ni kiumbe mpole lakini akiamua kuwa mwovu, hukosa huruma kabisa, ndiyo maana wazee wa kale walisema usiombee mwanamke akawa mchawi, anaua bila huruma. Ndiyo tunachokishuhudia sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…