SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mara nyingi kwenye operesheni hizo wanaweka namba bandia. Watu wameshindwa hata kutupia mawe kulivunja vioo hilo gari.Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi kwenye operesheni hizo wanaweka namba bandia. Watu wameshindwa hata kutupia mawe kulivunja vioo hilo gari.Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Hiyo ndio DSM, Mkoani sio rahisi watu watulie tuNmeshangaa sana, watu wapo tuu wanashangaa nao
Hiyo ndio DSM, Mkoani sio rahisi watu watulieNmeshangaa sana, watu wapo tuu wanashangaa nao
Karate inazuia risasi? Kwsbb ukiwabonda ukawazidi wanatoa silaha hawaTukijifunza karate baada ya maghrib mnasema wavaa kobazi magaidi
Mbona kama Mc BIG huyo mtekwajiWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ajira zingine, ni laana tupu kwa vizazi vyao. Unajisikiaje unapoona mtoto analia kwa uchungu kaburini kwa baba yake uliyemuua jana tu. Au mkewe mjane mjamzito anayezimia akimlilia mmewe uliyemuua aliyekuwa msaada wake pekee maishani.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Uhuru ambao Samia amempa Mafwele, utazidi kuwamaliza watanzania. Mwisho wa haya ni mpaka Watanganyika waamke na kumwambia Samia aende kwao. Huu uharamia ameubariki huku Tanganyika, kule kwao husikii huu ushetani.Jamani Mafwele na genge lake la Task force atamaliza watu.
Mkuu usidhani tukio la Utekaji linakuwa jepesi sana kiasi hicho unachofikiri wewe.Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Mara nyingi hivi viatu huwa vinavaliwa na UvccmGreen guards at work..!
Huyu ndiyo kajilipua kabisa sura nje njeFind this niga please
View attachment 3150699
Huyu bora ahame Nchi kabisa kuna maneno pale mwishoni wameongea" tutakufata"Si kweli, tanzania ina wajinga sana nanhuo mtaa huyu jamaa ahame kabisa