Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Mtume Muhammad (S.A.W.) alieleza:

Hadithi hii inahimiza kujifunza stadi mbalimbali za kujilinda na kuwa na nguvu, kama vile upigaji wa mishale, upigaji wa upanga, na kuogelea. Ingawa karate haikutajwa moja kwa moja, mafunzo ya sanaa za kujilinda yanahusiana na kuwa na uwezo wa kujilinda na kuwa na nguvu ya mwili.
Hivi unaelewa kwa ufasaha kabisa juu ya suala hili unalojaribu kulizungumzia hapa?
 
Hadithi hii inahimiza kujifunza stadi mbalimbali za kujilinda na kuwa na nguvu, kama vile upigaji wa mishale, upigaji wa upanga, na kuogelea. Ingawa karate haikutajwa moja kwa moja, mafunzo ya sanaa za kujilinda yanahusiana na kuwa na uwezo wa kujilinda na kuwa na nguvu ya mwili.
Deo Bonge sio Muislamu
 
Mtume Muhammad (S.A.W.) alieleza:

Hadithi hii inahimiza kujifunza stadi mbalimbali za kujilinda na kuwa na nguvu, kama vile upigaji wa mishale, upigaji wa upanga, na kuogelea. Ingawa karate haikutajwa moja kwa moja, mafunzo ya sanaa za kujilinda yanahusiana na kuwa na uwezo wa kujilinda na kuwa na nguvu ya mwili.
KUJILINDA SIO KUANZISHA VURUGU. UISLAM UNAHIMIZA UJILINDE NA KUTUMIA ELIMU HII KUDHURU WENGINE

Uislam unapolazimishiwa kuwa rasmi nje ya ulimwengu wa kiislam.
 
Back
Top Bottom