Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Huyu watamrudia kama jitihada isipokuwepo, inasikitisha mchana kweupe kabisa, hayo mambo ya kuleteana utabe yasikie tu.

Lakini wanaoaswa kutubu na kumuogopa Mungu sana,
Wajue alomwokoa jamaa hapo ni Mungu sababu ako na makusudi na maisha yake,
Watakapomrudia maana yake wanatafuta kushindana na Mwenyezi Mungu ambae amekataa asiuawe ? ?!
 
Fanyeni mazoezi, we zuzu kuna gaidi uliwai kumuona kafanya ugaidi kwa kutumia karate, au panga, au mshale??? Fanya mazoezi uwe fiti kwa faida yako jinga wewe, ndio nyie panya road wakivamia mnakimbia wote kama watheenge,au kibaka tu dhaifu anakusumbua unakimbia, we aliyekuambia mazoezi ya karate ni ugaidi nani? Au kutembea na bisibisi au kisu cha mkunjo ni ugaidi nani?
Najua kiini cha tatizo ulilonalo; ni ukosefu wa elimu Bora na iliyo sahihi ambayo inahitajika katika Mazingira sahihi.

Swali langu nilikuuliza huyo mchangiaji bado liko sahihi Sana kwa muktadha wa Hoja hii inayojadiliwa hapa, rudia tena kusoma swali hilo kwa umakini, kisha tafakari.

Aidha, Je, wewe binafsi unaelewa nini juu ya dhana nzima ya 'Abduction Squads na jinsi hizo squads zinavyotekeleza Operesheni zake???
Are you really aware about that??
Dou you know the meaning of the Abduction Squads? Hit Squads??
 
Dou you know the meaning of the Abduction Squads? Hit Squads??ja

Najua kiini cha tatizo ulilonalo; ni ukosefu wa elimu Bora na iliyo sahihi ambayo inahitajika katika Mazingira sahihi.

Swali langu nilikuuliza huyo mchangiaji bado liko sahihi Sana kwa muktadha wa Hoja hii inayojadiliwa hapa, rudia tena kusoma swali hilo kwa umakini, kisha tafakari.

Aidha, Je, wewe binafsi unaelewa nini juu ya dhana nzima ya 'Abduction Squads na jinsi hizo squads zinavyotekeleza Operesheni zake???
Are you really aware about that??
Dou you know the meaning of the Abduction Squads? Hit Squads??
Kafie mbele! Huna akili wala maarifa umekalili tu, unaongozwa na udini bilashaka
 
Wakuu,​

Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.

=====

Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;

"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.

Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Watanzania ndio tulivyo.

Hata katika uchaguzi wa serikaliza za mtaa umetokea uhalifu lakini hatuna khabari
 
Hakuna alielazimishwa kuingia ktk uislam. Uislam unakushawishi utoke ktk giza uingie ktk nuru. Ukikataa shauri yako

Uislam unalazimisha kujipenyeza kwenye dola katika ulimwengu usio wa kiislam. Hebu rejea maandamano yaliyotokea hivi karibuni ulaya
 
Hotel na maeneo mengine yanapaswa kufungwa CCtV cameras.
Inasaidia waovu kuahirisha kuua Watu na kufanya uhalifu mwingine.
Jamaa waliacha kuendelea kumteka baada ya kugundua kuwa kuna mtu anawachukua video.
Fungeni CCTV cameras na wala sio gharama ukilinganisha na uhai wa binadamu na wewe mmiliki kuingizwa kwenye ushahidi kuacha shughuli żako kwenda mahakamani, ukishafunga camera ukiwapa Access unakuwa umemaliza kazi yako.
 
Hotel na maeneo mengi nchi za wenzetu ni full CCtV cameras kwaajili ya kudhibiti uhalifu.
Yani ukiwa kwenye apartament huku nchi za wenzetu unahisi hata ukiwa chumbani wanakuona.
Wamefunga sebuleni, chumbani Sijui ni mikwala au wanamaanisha sijui.
Yaani wana monitor 24/7
Na mtu ukishajua uko observed utaacha kufanya mipango ya hila na uhalifu.
Hebu fungeni bana.
 
Wewe ni mbwa kabisa, huyo Deo ambaye ni victim anaishi Kibaha, na tukio limetokea Kiluvya.

Kama ccm kungekuwa na mtu mwenye akili hata chembe ungehoji walinzi wa hotel wako wapi na ungehoji cctv camera zioneshe tukio kuanzia mwanzo.
Azitoe wapi hizo akili. Anawaza kuteka anaona watanzania Kama kuku tu. Saa hizi wanakanana siyo watu wa serikali. Yaan hiyo ingekuwa kama kwa Zakaria pale Tarime. walinyoosha maelezo na vitambulisho walivitoa kwa hiari yao bila kuulizwa. Wakishaona mstari w mauti huu hapa wanatajaga hata aliyewatuma. Subirini tu ipo siku wataingia 18 za watu Kama nyamongo Tarime wanaoelewa panga zinapigwaje kwenye mwili na mawe yanarushwaje. alafu ipigwe nduruu Kama hiyo ya tarimo. Utaona wanatoa na vitambulisho bila kuulizwa.
 
mkorofi, mbabe, mjeuri, dhulumati mwenye madharau huyo kila moja anamjua ukanda huo ndiyo maana hakuna aliethubutu kutoa msaada wowote kwake licha ya mayowe mengi sana aliyokua akipiga huyo muungwana mwanaume..

ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo ndiyo hiyo sasa 🤣

ishi na watu vizuri.
ubabe wa mtaani kwako ni fedhaha kwenye maeneo ya kujidai ya watu wengine.Acha dhuluma, acha dharau kwa mali na wake za watu 🐒
Na mzee kibao. Alimfanyia nani ubabe na alichukua demu wa nani?. Unaita aibu sana unatetea ushetani wenu wa kuuwa watu kwa njia rahisi ukiwaza watu na wajinga. Huu utetezi unatakiwa ukawaambie waccm tu watakuelewa
 
dhuluma na mihemko ni ndugu gentleman,

dawa ya yote hayo ni kudhibitiwa kwa vitendo. sina haja kumtetea yeyote..

Ishi na watu vizuri kamanda acha tamaa na ubinafsi 🐒
 
dhuluma na mihemko ni ndugu gentleman,

dawa ya yote hayo ni kudhibitiwa kwa vitendo. sina haja kumtetea yeyote..

Ishi na watu vizuri kamanda acha tamaa na ubinafsi 🐒
Yule Katibu wa ccm Kilolo Iringa wamemtia shaba inaonekana ni dhulumati sana.
 
dhuluma na mihemko ni ndugu gentleman,

dawa ya yote hayo ni kudhibitiwa kwa vitendo. sina haja kumtetea yeyote..

Ishi na watu vizuri kamanda acha tamaa na ubinafsi 🐒
Una lolote unanuka damu za watu. Taja walichozurumu taja mihemko. Mnapenda sana mfanye uovu watu wanyamaze tu. Sikia umbeni watu wenu ili chochote mfanyacho watanyamaza. Ila walioumbwa na MUNGU kamwe awatanyamaza. Sababu wengine wanatumwa na MUNGU wawe sauti ya dau mnazozimwaga.
 
Wakuu,​

Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.

=====

Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;

"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.

Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Siyo Siri hata kidogo, CCM wameifikisha nchi Mahali pabaya Sana kupita kiasi. Tumefikia mahali pa hatari Sana kama nchi. Hali kama hii iliwahi kuwepo nchini Afrika ya Kusini enzi za Utawala wa Makaburu, hali iliyowalazimisha Watu weusi wa nchi hiyo chini ya Chama cha ANC kuanzisha Operesheni Kali zaidi ya Kujihami dhidi ya Vitendo viovu vya namna hii. Wafuasi wa ANC walilazimika kuanzisha Vuguvugu Kali la chini kwa chini (Underground Resistance Movements and Guerrilla War against Boers). Operesheni za kujihami zilizoanzishwa na Wafuasi wa ANC ziligharimu maisha ya Watu wengi Sana nchini Afrika ya Kusini ( Wazungu na watu weusi) hadi kusababisha baadhi ya Maafisa wa Idara ya Ujasusi ya nchi hiyo kutoroka nchi ili kukwepa mashambulizi ya kuuawa kutoka kwa Watu wa ANC.
 
Imethibitika kuwa watu wanaigiza!
 
Attachments

  • 20241114_152139.jpg
    20241114_152139.jpg
    171 KB · Views: 1
Back
Top Bottom