Kwahyo 3.4 times 2 ni 5.9 cyo?
If ulikimbia Mathematics shuleni, huku JF usijifanye Unaijua, Pambana Na Geography Yko!! Usitusumbue
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ukora wewe.
Asante kwa kukubali kwamba kwa sasa Dar inakimbiza Nairobi. Unafaa upitie pale Dar vs Nrb uambie wale wenzako huu ukweliUzi unaendelea,Dar inakimbiza vizur Nbo the way mnavyoiongelea ni kama vile Jozi au something like Cairo kumbe sivyo...
Dar inakuja vizur ndio tunaenda sawa na beat tunanata nalo mulemule.
Nairobi mnaisifu kuliko uwezo wake,simaanishi NBO hapako sawa lahasha
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hiyo itabidi mumesahau ju Mzee museveni tulishamueka mfukoni.Hivi tukichukua tu Uganda Oil Pipeline investment hiyo Nairobi na Mombasa na Kajiado hawaishiki Dar,
Ukiondoa Nairobi unabaki na Mombasa(port city),Kisumu (industrial city)Nakuru(new capital) na bado kuna Eldoret. Je? Ukiondoa Dar unabaki na nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiondoa Nairobi, Kenya kote huko kwingine ni machakani kama upande wa kaskazini mwa Kenya ndio balaa, maendeleo yapo nyuma kabisa hata barabara maji, umeme hakuna kabisa
Ukiondoa Nairobi unabaki na Mombasa which can still run the economy perfectly. We all know huwezi linganisha Mombasa na any city in Tz outside dar. Nakuru pekee inailemea Mwanza kiuchumi itakuamoshi?Ukiondoa Nairobi, Kenya kote huko kwingine ni machakani kama upande wa kaskazini mwa Kenya ndio balaa, maendeleo yapo nyuma kabisa hata barabara maji, umeme hakuna kabisa wakati Tanzania mtu angefikiri Dar ndio kungekua na huduma bora kuzidi maeneo yote za kijamii
Tanga sio kama Dar lakini kuna huduma ya clean and safe water 100% Moshi 100% etc wakati Kenya hakuna County inayopita Nairobi kwa maendeleo ya aina yoyote ile.
Ahaaa haaa haaa
What's kiambu then?