Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la tukio na hatua za kuuzima moto zinaendelea.
Soma pia: Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH
Soma pia: Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH