Bawabu wa pili Senior Member Joined Nov 14, 2025 Posts 147 Reaction score 433 Jan 16, 2026 #1 Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la tukio na hatua za kuuzima moto zinaendelea. Soma pia: Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la tukio na hatua za kuuzima moto zinaendelea. Soma pia: Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 16, 2026 #2 Majanga yameanza, tungoje uchunguzi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 18, 2026 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw