DOKEZO Responded Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mwenge Stendi.jpg

Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu jengo la Stendi Mpya ya Mwenge. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara, huku ikidaiwa kuwa jengo zima linadaiwa bili ya umeme.

Tatizo hili lilianza hata kabla ya kampuni zilizokuwa zimekodisha sehemu kubwa ya jengo hilo (ikiwemo LC Waikiki, DeFacto na Amal Carpets) kuondoka mwezi Desemba 2025. Kwa kuwa ndizo zilikuwa wapangaji wakubwa wa mwanzo, inaaminika huenda deni hilo lilitokana na matumizi yao.

Hata hivyo, kwa sasa sehemu hizo zimepangishwa kwa wafanyabiashara wadogo mmoja mmoja, lakini bado wanakumbwa na changamoto ya kukosa umeme mara kwa mara kutokana na deni hilo, jambo linaloathiri shughuli zao za biashara.

Pia soma
~
TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi
~ TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika
 
Kwanini wameondoka hapo hao wawekezaji wakubwa?
 
Inaa maana hao wapangaji walikuwa wanatumia meters zipi kusoma umeme wao ?😃
 
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu jengo la Stendi Mpya ya Mwenge. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara, huku ikidaiwa kuwa jengo zima linadaiwa bili ya umeme.

Tatizo hili lilianza hata kabla ya kampuni zilizokuwa zimekodisha sehemu kubwa ya jengo hilo (ikiwemo LC Waikiki, DeFacto na Amal Carpets) kuondoka mwezi Desemba 2025. Kwa kuwa ndizo zilikuwa wapangaji wakubwa wa mwanzo, inaaminika huenda deni hilo lilitokana na matumizi yao.

Hata hivyo, kwa sasa sehemu hizo zimepangishwa kwa wafanyabiashara wadogo mmoja mmoja, lakini bado wanakumbwa na changamoto ya kukosa umeme mara kwa mara kutokana na deni hilo, jambo linaloathiri shughuli zao za biashara.

Pia soma
~
TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi
~ TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika
Soon kitakuwa Pagala kama Machinga Complex, Huwezi endesha vituo viwili vilivyo jirani kwa sababu za kisiasa.

why Makumbusho then Mwenge?
 
Ni nani huyo anae endesha ?
Stendi ya Mwenge inamilikiwa, inaendeshwa, na kusimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Halmashauri ndiyo iliyojenga stendi hiyo mpya ya kisasa na inasimamia ukusanyaji wa mapato yatokanayo na utoaji huduma za usafiri na ukodishaji wa maduka ndani ya kituo hicho
 
Okay sawa, halmashauri Ndio wanakusanya mapato,
Je wanakusanya ki electronic, Yan malipo yanaenda serikali Moja kwa Moja.
Au ile stail ya ku print resiti 😊
 
Back
Top Bottom