Dar: Jesh la Zimamoto na Uokoaji, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji huko Stakishari

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Jesh la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji katika eneo la Stakishari Ukonga na daraja la Sarenda na kuikabidhi kwenye vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kwa uchunguzi.
Screenshot_20260504_202610_Facebook.jpg

Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Ilala ,SACF Mabusi Peter, akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Zimamoto Duniani,amefafanua kwamba katika eneo la Stakishari mwili wa mwanamke anayekadiliwa kuwa na umri zaidi ya miaka 60 jana jioni uliopolewa kwenye Maji.

Maiti ya Salenda

Pia mwili mwingine wa mwanaume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka kati ya 21 hadi 26 umeopolewa leo majira ya saa tano asubuhi katika daraja la Salenda.

MY TAKE;
Kumeanza kuchangamka. Serikali imewekwa mfukoni na wauaji.
 
Nimeandika nimefuta nmeandika tena nimefuta<<<<<<<<<<<ila utawala huu ukiishia ukingoni kuna viongozi watafungwa,wengine watakimbia nchi ,wengine watanyongwa,wengine wataishi maisha ya hofu kama ilivo sasa.
Ishaalah kama Karma ipo.
 
Ni kajiupepo tu.Yatapita.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Na hofu ya madeni.
Juzi jamaa kachinja mtoto baada ya kugundua siyo wake,siku si nyingi watu waliuawa kwa kudaiwa kuiba nyeti kwa kushika bega,mna uhakika gani hiyo ni kazi ya serikali?..hakuna kesi za raia kuua wenzao huko mahakamani?..rehema maulid alimuua athman nyanza na kumfukia shimoni,angemtupa mtoni mngedai ni serikali
 
Nimeandika nimefuta nmeandika tena nimefuta<<<<<<<<<<<ila utawala huu ukiishia ukingoni kuna viongozi watafungwa,wengine watakimbia nchi ,wengine watanyongwa,wengine wataishi maisha ya hofu kama ilivo sasa.
Ishaalah kama Karma ipo.
Ila watu mna chuki za kingese aisee, dah!!!
Kila kitu ni serikali?!!!!!!
 
Jesh la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji katika eneo la Stakishari Ukonga na daraja la Sarenda na kuikabidhi kwenye vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kwa uchunguzi.
View attachment 3583850
Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Ilala ,SACF Mabusi Peter, akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Zimamoto Duniani,amefafanua kwamba katika eneo la Stakishari mwili wa mwanamke anayekadiliwa kuwa na umri zaidi ya miaka 60 jana jioni uliopolewa kwenye Maji.
View attachment 3583848
Maiti ya Salenda

Pia mwili mwingine wa mwanaume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka kati ya 21 hadi 26 umeopolewa leo majira ya saa tano asubuhi katika daraja la Salenda.

MY TAKE;
Kumeanza kuchangamka. Serikali imewekwa mfukoni na wauaji.
Kila UBAYA utalipwa
 
Duh huko nyumbani kuna shuguli

Ova
 
Back
Top Bottom