figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Unasabahi au umesalimu amri mkuu?
Ni kajiupepo tu.Yatapita.Nimeandika nimefuta nmeandika tena nimefuta<<<<<<<<<<<ila utawala huu ukiishia ukingoni kuna viongozi watafungwa,wengine watakimbia nchi ,wengine watanyongwa,wengine wataishi maisha ya hofu kama ilivo sasa.
Ishaalah kama Karma ipo.
Ya mwisho wakiiunda waiite "TUMECHOKA"!Tume itaundiwa tume
Na hofu ya madeni.Uchunguzi utasema ni wivu wa mapenzi
Mijitu miovu huishi miaka hadi "buku"!Labda Mungu atende muujiza.Mungu anibariki nione mwisho wao
Una uhakika ni serikali imefanya?.. nyinyi raia hamuuani kisa pesa na mapenzi?Halafu Jumapili na Ijumaa wako katika nyumba za Ibada wanaabudu.
Juzi jamaa kachinja mtoto baada ya kugundua siyo wake,siku si nyingi watu waliuawa kwa kudaiwa kuiba nyeti kwa kushika bega,mna uhakika gani hiyo ni kazi ya serikali?..hakuna kesi za raia kuua wenzao huko mahakamani?..rehema maulid alimuua athman nyanza na kumfukia shimoni,angemtupa mtoni mngedai ni serikaliNa hofu ya madeni.
Ila watu mna chuki za kingese aisee, dah!!!Nimeandika nimefuta nmeandika tena nimefuta<<<<<<<<<<<ila utawala huu ukiishia ukingoni kuna viongozi watafungwa,wengine watakimbia nchi ,wengine watanyongwa,wengine wataishi maisha ya hofu kama ilivo sasa.
Ishaalah kama Karma ipo.
Kila UBAYA utalipwaJesh la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji katika eneo la Stakishari Ukonga na daraja la Sarenda na kuikabidhi kwenye vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kwa uchunguzi.
View attachment 3583850
Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Ilala ,SACF Mabusi Peter, akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Zimamoto Duniani,amefafanua kwamba katika eneo la Stakishari mwili wa mwanamke anayekadiliwa kuwa na umri zaidi ya miaka 60 jana jioni uliopolewa kwenye Maji.
View attachment 3583848
Maiti ya Salenda
Pia mwili mwingine wa mwanaume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka kati ya 21 hadi 26 umeopolewa leo majira ya saa tano asubuhi katika daraja la Salenda.
MY TAKE;
Kumeanza kuchangamka. Serikali imewekwa mfukoni na wauaji.