Dar joto ni kali sana, tujuze hapa ulipo

Dar joto ni kali sana, tujuze hapa ulipo

Jua kali linapunguza nguvu za kiume, waulizeni waarabu huko bara Asia watawaambia..so ndugu zetu mnaoishi dar mjiandae maana kende zinahitaj hali flani ya ubaridi ili zizalishe mbegu bora na zenye nguvu..njia mbadala jioni mnapopumzika chukueni visado lowekeni pu*bu zenu kwa heshma ya ndoa..kwa waliooa.
[emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balaa
Screenshot_20191213-143446.jpeg
 
Wenzangu Wa kauka ñikuvae wanà raha huko,,maana huku mkoani tunakosa hats cha kuvaa ñguo zote chafu ,na ukifua jua hakuna
 
Back
Top Bottom