Dar kama New York! Chalamila atangaza mpango maalum biashara kufanyika hadi usiku wa manane! Jeshi La Polisi kuhusika

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

Umechelewa sana mhe RC, anza hata kesho bro. Majiji yote makubwa duniani yapo hivo, why not us? Mmeanza kwenye mabasi ime tick, twende na hili; next move itakua majiji mengine kama Arusha, Mwanza na Mbeya
 
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

View attachment 3211603
Kwa Tabia za Watawala camera zitawaumbua wao na polisi!
 
Sasa hao watakaohusika ndo watakaoibia raia 😹
 
Magufuli angakuwepo hoja hiyo ingeshaisha zamani.. kesho tuanze kula gambe mpaka kokoriko
 
Kutokana na vibaka waliojaa "daslama" huo ulinzi wa polisi ni sokoni tuu au ulinzi utakuepo wa kutosha hadi mitaani wanakotoka wateja ili isiwe wame rahisisha kazi kwa majambazi na wezi
 
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

View attachment 3211603
New York ya Bongo nyoso?
 
Nikadhani Usafi wa Jiji....Wamachinga karibuni Sasa wataanza kunya barabarani maana kukojoa ni kawaida
 
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

View attachment 3211603
Kwa watunza kumbukumbu wazuri hii ni awamu ya ngapi anaongea hizi kauli?
 
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

View attachment 3211603
Biashara 24 hrs

Samia,Chalamila mambo ni 🔥 🔥
 
Kutokana na vibaka waliojaa "daslama" huo ulinzi wa polisi ni sokoni tuu au ulinzi utakuepo wa kutosha hadi mitaani wanakotoka wateja ili isiwe wame rahisisha kazi kwa majambazi na wezi
Mswahili hafikirii mbali
Hapo anaona atadhibiti wizi madukani ila baada ya hapo hajawaza kabisa
Angekuwepo humu angetupa haya majibu
 
Back
Top Bottom