Dar kama New York! Chalamila atangaza mpango maalum biashara kufanyika hadi usiku wa manane! Jeshi La Polisi kuhusika

Dar kama New York! Chalamila atangaza mpango maalum biashara kufanyika hadi usiku wa manane! Jeshi La Polisi kuhusika

Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.

Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.

View attachment 3211603
Unapajua New York au unajifariji?
 
Back
Top Bottom