Kwa Tabia za Watawala camera zitawaumbua wao na polisi!Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.
Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.
View attachment 3211603
New York ya Bongo nyoso?Wakuu,

Kwa watunza kumbukumbu wazuri hii ni awamu ya ngapi anaongea hizi kauli?Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.
Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama kipindi cha usiku na pia Jeshi la Polisi mkoa wa DSM wako tayari kutoa ulinzi kwa wafanyabiashara wa usiku.
View attachment 3211603
Biashara 24 hrsWakuu,

Mswahili hafikirii mbaliKutokana na vibaka waliojaa "daslama" huo ulinzi wa polisi ni sokoni tuu au ulinzi utakuepo wa kutosha hadi mitaani wanakotoka wateja ili isiwe wame rahisisha kazi kwa majambazi na wezi
Sisi watu wa Iringa na Njombe tuna akili nyingi sana.Ndio maana Chalamila ana BICHWA kama KITUNGUU MAJI..... amejaa ubunifu mno.
Heko kwake.
Cc: chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa