DAR: Kibamba ya Mnyika nao Watangaza kumuunga mkono Lissu

Karata bado inachezwe,mchezo bado mbichi,kuna mtu hakusoma alama za nyakati na upepo unavyovuma
 
Kwani mnyika kwa sasa ni mbunge wa huko? Kama sio basi kibamba sio yake
 
Kweli CHADEMA wana democrasia kubwa sana, maneno kama haya yakisemwa na mwana Ccm kwa mwenyekiti wa CCM hakika huyo mtu atapotelea kusiko julikana na usionekane maisha yake yote
 
Hao walevi wa visungura sio wapiga kura
Sijui kwanini kila anayekua kinyume n ccm huonekana mlevi wa gongo. Wakati kwenye kampeni tunaona sura za wanchama wa ccm wanaovaa tsheti na kofia huko vijijini ni watu w ain gani
 
Reactions: K11
Lissu Mungu akusimamie sana, Utashinda kwa nguvu ya Mungu
Lissu sijui yupo na dam gani, hakuna kipindi alikua na vizingiti ,wakati agombea urais wa TLS , ila alipita ,pamoja kwamba alifika ukumbini amechelewa akitokea Dar, kutokana na kesi kama sikumbuki, ila inasemekana baada ya kufika ukumbini , Alitema hotuba ya hatari , ambayo ilimshangaza kila wakili Msomi.

2020 wakati wa kugombea urais wa nchi ,alikutana na vikwazo vingi kutoka tume, mnakumbu mpaka anakamilisha taratibu ilikua usiku ,ila alipenya na kupeperusha bendera ya chama, kama uchaguzi ule ungekua huru ,leo tungekua tunaongea mengine.

Ila mwamba alilambishwa risasi 16, akuushinda umauti na yupo njema kuliko jana.

Sasa hii ya chadema wala sina shaka ,mapema sana biashara inaisha.


MBOWE amekua akishinda tokana na aina ya wagombea aliokua anakutana nao, lakini pia aina za nyakati za vipindi vile.

Lissu ndo mwenyekiti ajae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…