Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
and 100 others unasemaaaaaaaaWaajiri wapelekwe gerezani waende kuPididwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
and 100 others unasemaaaaaaaaWaajiri wapelekwe gerezani waende kuPididwa...
📢📢and 100 others unasemaaaaaaaa
Waende gerezani wakapididweeee!!!!Majuto ni mjukuu busara ni kitu kizuri sana busara ingetumika na ushauri mzuri yote hayo yasingewafika kwani laki 2 kitu gani mpaka ikupeleke ukaozee jela maisha?Hiyo ni murder mkuu. Kumtia mtu petrol ni umekusudia kuua.
Kafara ya moto Mshana JrMpaka mtu asimamie familia ya Marehemu, ndiyo watapata haki. Lah kesi hii itaishia baada ya mwezi mmoja. Tuache vitendo vya ukatili, hawa waajiri wanaonyesha wazi, hawakutaka kumlipa mshahara wake, wakaamua kumsingizia wizi.
Kama kweli waliibiwa, kwanini hawakumfikisha polisi? Miuaji hiyo, wachunguzwe huenda walishaua wafanyakazi wengine.
Hiyo ni murder mzee, hakuna manslaughter hapo, uliza wanasheriaHao waaajiri, fools! Ngoja wakaozee magereza na case ya manslaughter!
Kabla ujafanya maamuzi ya kijinga, ujue shetani yupo karibu sana kuyakamilisha!
Hiyo ni murder mzee, hakuna manslaughter hapo, uliza wanasheria
Mauaji ya kukusudia (murder) yanakuaje?.Ujuaji tu, hakuna murder hapo! Namuuliza wanasheria wa Nini? Sheria inaruhusu wana Chadema waandamane na walindwe; mbona hawaandamani?
Yaani kabisa hao pilisi hawahaingi na kesi za mtu tena ukute haujulikani ndo kabisa. 😂😂Kwa mama samia hiyo nalo ndo limeishia hapo
Hakuna chochote watakachofanywa
Huu utawala ni pesa yako tu
Mauaji ya kukusudia (murder) yanakuaje?.
Jamaa aliyesimamia zoezi Ndugu yake ni Mkubwa kituo Cha gogoniLaki 2 unatoa mtu maisha
SawaMimi nakueleza ni manslaughter hiyo kwa Sheria zetu hizi tia maji, Tanzania Sheria ni range fulani ya Maamuzi, haipo straight! Hivi unajua only Hakimu ndo anaweza kuamua Kama upo guilty ukibisha kulipa fine ya Trafic? Hemu jaribu siku moja kubisha!
Kwahiyo kumchoma moto kwa petrol hawakukusudia afe,ila lengo ilikuwa kumtia adabu tu,sindio mwanasheria?Ujuaji tu, hakuna murder hapo! Nauliza wanasheria wa Nini? Sheria inaruhusu wana Chadema waandamane na walindwe; mbona hawaandamani? Akili huna