BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Duh.
Mkuu Kama uko siriaz nije Na 10 Mil
MAHALI: Kisarawe Km 35 toka Airport
UKUBWA: Heka 17
: Lina Hati , kuna Nyumba kubwa Pia Kuna Mazao Kama Mitiki, Michungwa,Mikaratusi
Bei: Tsh Milioni 800
aliyesirias Anakaribishwa kuliona Pi a Maongezi Yapo.
Simu Namba: +255 718295182
Bango
mkuu kilipimwa na kilikuwa na hati kama hiki?Mkuu shamba ekari 17 kisarawe Milioni 800?Mwaka Jana nimenunua shamba ekari 50 Mvuti njia panda ya Chanika na Dondwe Gerezani kwa shillings Milioni 35.
mimi nina shaba kisarawe mjini heka 12 lin Hati na linapakana na chuo cha kanisa la kilutheri , ni 1 km toka kisarawe mjini bei 35m. pia ndani ya shamba kuna madarasa 2 ambayo bado hajaezekwa tuwasiliane kwa muhitaji 0712 699 624