Plot4Sale Dar Kisarawe Heka 17 Lina Hati!!

Plot4Sale Dar Kisarawe Heka 17 Lina Hati!!

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
MAHALI: Kisarawe Km 35 toka Airport
UKUBWA: Heka 17
SIFA: Lina Hati , kuna Nyumba kubwa Pia Kuna Mazao Kama Mitiki, Michungwa,Mikaratusi

Bei: Tsh Milioni 800

aliyesirias Anakaribishwa kuliona Pi a Maongezi Yapo.

Simu Namba: +255 718295182

Bango
 
Mkuu shamba ekari 17 kisarawe Milioni 800?Mwaka Jana nimenunua shamba ekari 50 Mvuti njia panda ya Chanika na Dondwe Gerezani kwa shillings Milioni 35.
 
MAHALI: Kisarawe Km 35 toka Airport
UKUBWA: Heka 17

: Lina Hati , kuna Nyumba kubwa Pia Kuna Mazao Kama Mitiki, Michungwa,Mikaratusi

Bei: Tsh Milioni 800

aliyesirias Anakaribishwa kuliona Pi a Maongezi Yapo.

Simu Namba: +255 718295182

Bango
 
Mkuu shamba ekari 17 kisarawe Milioni 800?Mwaka Jana nimenunua shamba ekari 50 Mvuti njia panda ya Chanika na Dondwe Gerezani kwa shillings Milioni 35.
mkuu kilipimwa na kilikuwa na hati kama hiki?

Bango
 
Tutafuatilia umiliki wa mashamba huko ili kuwaondoa wakenya na wanyarwanda wanaomiliki ardhi huko.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
mimi nina shaba kisarawe mjini heka 12 lin Hati na linapakana na chuo cha kanisa la kilutheri , ni 1 km toka kisarawe mjini bei 35m. pia ndani ya shamba kuna madarasa 2 ambayo bado hajaezekwa tuwasiliane kwa muhitaji 0712 699 624
 
Ni pm mkuu nije kulicheki tunaweza fika muafaka
 
Back
Top Bottom