Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Unamuuliza mtu hao unaowaita mashoga wametokea wapi kama sio sisi wanaume, hasa baadhi ya wanaume kukengeuka na kuwala wenzao ?

Mtu anakuja mbio ety we *****,

***** hayo maneno tuu,

I'm gentleman and a half👊
Sijajua mmetokea wapi na hii conversation yenu but kusema kwa ujumla kwamba “kama siyo sisi wanaume” ni uwongo labda kama wewe uliwahi kumtatua mwanaume mwenzako marinda so huwezi kuwaweka na ambao hawajawahi kuufanya huo ujinga.

Mimi siyo chanzo cha mtu kuwa shoga that's why napata nguvu ya kubishana nao but kama nimeshiriki kumfanya shoga sitakuwa na guts za kubishana nae.
 
😂😂😂😂😂.
Sasa km ushoga ni uhalifu, kamata hao wahusika, si mnawaona hapo tena wako leleleee,

Hivi hizo hoja zenu mnazosema zina nguvu na mashiko mnashindwa kuzitumia kutekeleza hayo myatakayoo? Au ni kwa keyboard tyuuh?

😂😂😂😂😂 mnanichekesha kweli nyie waja, kubalini ushoga hamuuwezi kupambana nao.
 
Hafiki huyo, hata 27 hafiki , kazidi sana 26.
Huoni hata michango yake inasadifu hajakomaa kiakili.
Sijui ila mkuu Kuna MTU ALINAMBIA ni mkubwa SANA achana na I'd. HIYO I'd Ina Miaka SANA, Ina maana ye hakuwi mkuu?



Full stop, kwishaaaa
 
🤣🤣🤣

Jamaa kachekesha kwelii hahahahah

Jamaa amepinga mashoga weeee i lakini nyege zimemshinda imebidi arushe kamba tu

,🤣🤣🤣
Ndo hao nawauliza chanzo Cha hao jamaa kuwa papai ni nani???

Kuuliza hivyo nishaitwa wewe chapati nshajua wewe *****,,

Sasa mwishoni watu wanaomba mchezo wenyewe binadamu jau sana 😂 ngoja tuone
 
Ndo hao nawauliza chanzo Cha hao jamaa kuwa papai ni nani???

Kuuliza hivyo nishaitwa wewe chapati nshajua wewe *****,,

Sasa mwishoni watu wanaomba mchezo wenyewe binadamu jau sana 😂 ngoja tuone
😂😂😂😂 wee MD nani kaomba mchezo? Acha uwaki bas daah.
 
ok nisahihishe na ndiyo maana mbeleni nikaweka baadhi ya hao ndo chanzo Cha kufanya ongezeko la mashoga kuwepo,,,

Na ndiyo maana mimi niliuliza chanzo ni kina nan kama sio mabasha hao ??
 
Wachaaaa wee!! 😂😂😂😂
Usiwazeeeeee mi Nisha kupenda mwaya, natamani SANA nikuone kwa HALI yoyote ILE coca USIJALI mi huwa siangalii rangi SIJUI sura SIJUI msambwanda huko NSHA pita hio stage



Full stop, kwishaaaaa
 
Inasikitisha sana,halafu yupo mtu hapa anashangilia nadhani ni umri bado mdogo sana hajajitambua bado.
 
Ana sema ana nini kubwa kuliko wote simsikii vizuri ....
 
Umeamua tu ule matako ya mwanaume mwenzio aya mkuu🤣🤣
HAMNA HUYU ni ke mkuu. ILE mechi ya Simba alijisahau coca akasema kwa jinsi kipa WA SIMBA Camara alivo mfurahsha Yuko tayari amualike aka lale KWAKE, SA MWANAUME atasema hivo mkuu. Anyway kama tuna bet na hatuchezi sisi sembuse HUYU AMBAE TUNAWASILIANA potelea pote



Full stop, kwishaaa
Umeamua tu ule matako ya mwanaume mwenzio aya mkuu🤣🤣
 
Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!
Halafu pesa za kuendeshea nchi utatoa wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…