Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!
Ndugu mteja , nasikitika kukujulisha serikali yako haina uwezo huo.
 
Ukichunguza sana wanawake hasa ndio wanaendekeza ujinga wa hawa wapumbuvu, tena hasa ma single mama.

huwezi ona mwanaume mwenye akili zake timamu au mwanamke mwenye mahusiano yake thabiti kualika mashoga kwenye shughuli zao na kufanya vituko.
Hauna akili mkuu
 
😂😂😂😂😂
Umechelewa kunifahamu, hasa ktk hii mada, mwenzio nilikua nafurusha watu 10 kwa mpigo, na wanatoka ndukiii.

Kuna watu walikimbia I'd zao kisa mie, nishavuka huko bhana wee. Afu mbona sioni km wee huwa una hoja za maana, au mpya ni zile zile nilizo zizoea,

Siku ukija na mpyaa, tutajadili sana usijari.
Huu mkwala kila siku unautumia yet sijaona maajabu yako zaidi ya mkwara wa ulishawafurumusha watu na ID zao.

Kama unazo hoja unafeli wapi kuziweka hapa kwasababu unajua wewe ni senseless contributor kwenye hizi mada huwa unafanya "snappy shoots" za kuingia na kutoka kwenye mada.

Yaani ingekuwa ni vita basi wewe ni kama Idd Amini Dada, unatangaza vita na biti kubwa, halafu Tanzania inaleta vikosi unakimbia na taulo.

Au kwenye ugomvi una maneno mengi mpinzani wako akitaka kukupa kichapo unatoka nduki unasubiria watu wajae wamemshika wewe kazi kurusha tungumi tudogo tudogo kama tonge la ugali la Junior ukijitapa kwamba utaua mtu.😂😂😂

Takataka kabisa. Njoo hapa uweke hoja tupambane kila siku wewe ni wa kusema hapa sio mahala pako, well wapi sasa ni mahala pako ambapo huwa unaonyesha umwamba.
 
Ahaahhahaha

Ila Jf ina vituko sanaaa.
 
Hii ni blame shifting , lawama anadondoshewa baba at the same time jamii hiyo hiyo inamouga vita mwanaume na kumbeba mwanamke

I dont say wababa wote ni inoccent , but kuna wa mama pia ni source of demise ya wao kuwa single mother, too bad jamii choose to turn blind eyes on them
Nimemquote huyo jamaa maana ameblame wanawaken kwamba wao ndo wanawaendekeza mashoga. Amesahau kwamba mtoto wa kiume ili awe wa kiume anahitaji malezi ya baba. Mama hawezi kumlea mtoto wa kiume mwenyewe bila kuwepo na mwanaume karibu.
 
Ahaahhahaha

Ila Jf ina vituko sanaaa.
Kila siku utasikia "yaani wewe haujanikuta kwenye mood yangu" mara " anzisha mada halafu uone makali yangu" "kuna watu wamekimbia hapa wakiniona hawataki hata kukomenti".

Cha ajabu namuona kwenye hizi topic za ushoga hoja hana anachofanya ni kuandika tambo na mikwara tu " endeleeni mtaona"," hakuna kitu mtafanya" mara " ndio hivyo wanatamba na mtaani wapo na hamna chakuwafanyaaa watu weuweeeeeeeeeee "

😂😂😂 Hanaga hoja ila mkwara sasa.
 
Huyu cocastic ni mihemuko inamsummbua tu, eti mtu akiamua kumu ignore yeye anadhani amemuogopa kumbe akikimbia ujnga.

Kwanza mtu anatetea mwanaume kufirwa, unadhani atakuwa timamu kichwani?
 
Kila siku utasikia "yaani wewe haujanikuta kwenye mood yangu" mara " anzisha mada halafu uone makali yangu" "kuna watu wamekimbia hapa wakiniona hawataki hata kukomenti".

Cha ajabu namuona kwenye hizi topic za ushoga hoja hana anachofanya ni kuandika tambo na mikwara tu " endeleeni mtaona"," hakuna kitu mtafanya" mara " ndio hivyo wanatamba na mtaani wapo na hamna chakuwafanyaaa watu weuweeeeeeeeeee "

😂😂😂 Hanaga hoja ila mkwara sasa.
Anatetea kufirana utagemea akili yake isiwe kama kufirana🤣
 
Nimemquote huyo jamaa maana ameblame wanawaken kwamba wao ndo wanawaendekeza mashoga. Amesahau kwamba mtoto wa kiume ili awe wa kiume anahitaji malezi ya baba. Mama hawezi kumlea mtoto wa kiume mwenyewe bila kuwepo na mwanaume karibu.
Acha upotoshaji. Ukiona mzazi wakike huwezi kumlea mtoto wako wa kiume akawa na maadili kisa baba yake hayupo wewe ni mpumbavu. kabla ya kuamua kuzaa hakikisha kwanza wewe mwenyewe una uwezo wa kumlea mtoto ikitokea mzazi mwenzako hayupo. Wapo watoto wa kiume wamelelewa na mzazi wakike na wamekuwa na maadili na wapo watoto waliolelewa na wazazi wote na wameharibika. Tunaweza kuhitimisha hoja yako haina mashiko
 
Oh yes uko right, na nimeelewa
 
😂😂😂😂😂.
Sasa km ushoga ni uhalifu, kamata hao wahusika, si mnawaona hapo tena wako leleleee,

Hivi hizo hoja zenu mnazosema zina nguvu na mashiko mnashindwa kuzitumia kutekeleza hayo myatakayoo? Au ni kwa keyboard tyuuh?

😂😂😂😂😂 mnanichekesha kweli nyie waja, kubalini ushoga hamuuwezi kupambana nao.
From logic to emotions, that how umetoka kwenye mstari
And for the record kuna kifungu cha sheria for that kabisa penal code 1945 kifungu 154,155,157

So kumkamata mtu kwneye act yenyewe is different things, with how nchi yetu inaendeshwa a lot of things vinachukuliwa poa
Anyway if jamii inalalamika about that, but wasi support vitendo hivyo, thats my conclusion for today
 
Acha upotoshaji. Ukiona mzazi wakike huwezi kumlea mtoto wako wa kiume akawa na maadili kisa baba yake hayupo wewe ni mpumbavu. kabla ya kuamua kuzaa hakikisha kwanza wewe mwenyewe una uwezo wa kumlea mtoto ikitokea mzazi mwenzako hayupo. Wapo watoto wa kiume wamelelewa na mzazi wakike na wamekuwa na maadili na wapo watoto waliolelewa na wazazi wote na wameharibika. Tunaweza kuhitimisha hoja yako haina mashiko
Haya endelea kukaza shingo. Watoto wenu ndo hao wanakata viuno.
Ukiona mtoto wa kiume kalelewa na mama akaja kuwa wa kiume kweli kweli basi tambua kwamba kulikuwa na mwanaume karibu yake, anaweza akawa mjomba, babu au mwingine. Lakini kama amekua amezungukwa na wanawake zaidi basi tatizo litakuwepo tena kubwa sana.
 
Katiba ipi unayozungumzia wewe mimi katiba ninayo hapa na hakuna sehemu imetamka wala kutambua mwanaume na mwanaume kuwa kimahusiano,nenda kaisome katiba ya jamuhuri imeweka bayana kuwa inatambua mwanaume na mwanamke katika eneo la ndoa na mahusiano.
Nipe hicho Kifungu cha Katiba kinachosema ni ruksa mwanaume kumtomba mwanamke!

Twende Kifungu kwa Kifungu.
 
Back
Top Bottom