Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Mashoga wnatumiwa na wanawake wadangaji kuwapa Connection za wanaume wenye pesa na hii ipo tangia kitambo .

Pale Bukoba alikuepo shoga maarufu alikuwa anapapatikiwa na wanawake lengo awape Connection za Madanga
 
Usicheke km msenge alioona beer ulisema me ni chapati

Tulishawahi kukulana tukageuzana?

We mla kitimoto mkubwa na mizinga ya konyagi plus mududu??
Mkuu lini mi nilisema weww CHAPATI kwann unakubali watu watugombanishe hapa...
.na wewe unaamini kabisa kama ww ni chapati
 
A

Ah mahakama its too late mjomba nchi ambazo zinaweza kupinga LGBTQ kwa sheria nichache sanaa may Russia, burkinabe, uganda kidogo na south korea na china.
Sisi tupo njee ya mda hap tz mtu binfasi tu apambane kujilinda mwenyew na watoto wake basi, usitegemee sheria ya kupinga au forum ya kudeal na LGBTQ
Kila mtu ajilinde yeye na watoto wake? 😂😂 Nimecheka hapo! Ila ni kweli mitaani huku watu wanaishi kama raia wa nchi tofauti tofauti.

SAsa Koskey unafikiri mwisho wa mashoga hapa Tanzania ni nini? Itakuwa ndio jinsia mpya au?
 
Hii mbona ilishaanza ila kuna chama fulani hv cha siasa kilipinga na kusema huko n kuingilia haki za binadamu
Mwamba huwa unajitahidi sana kujifanya haupo sisiem lakini tabia ni kama ngozi haijifichi. Mwisho unaishia kuwa mbuni anayeficha kichwa mchangani kiwiliwili chote kipo nje.

Kwa kukukumbusha tu (japo unakumbuka vizuri tu) ni kuwa wakati bashite anashughulika na mashoga akionekana kuwa serious na hilo jamii ya kimataifa ikaijia juu serikali (wenyewe mnaiita ya sisiem). Kupitia wizara ya mambo ya ndani chini ya waziri Kangi Mauno serikali ikamruka kimanga bashite na kuwapa mabeberu kauli fupi iliyojaa msisitizo "MASHOGA WAPO SALAMA TANZANIA". Jitihada za bashite ziliishia pale.

Jambo kuu la kuzingatia ni kuwa serikali haikutoa tu ile statement, bali pia inatambua mikataba ya kimataifa iliyoisaini na masharti yake magumu katika kulinda bakuli lake lisikose chochote kitu.

Kama kuna chama kilifanya jitihada za kukwamisha zoezi lile na kuilazimu serikali hii kiziwi kukitii na kuamua kuacha basi tuthibitishie hapa.
 
Sasa mm nijifiche kwamba nipo ccm kwan kuna mtu ananijua huku?
Kwan nikiwa ccm mtanifanya nn?

Acha kujifanya unanijua sana, acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine.

Anyway, asante kwa kunifatilia.

Mm sijataja chama kilichotetea mashoga afu Ww unakuja kumtaja waziri wa ccm kuwa alisema mashoga wapo sehemu salama, sasa hapo utofauti wa nlichokisema na ulichokisema kiko wapi?
 
Kwamba Serekali inahitaji kuchukua hatua nakubaliana nawe. Hapo kwenye kuanzisha mahakama maalumu ndipo nina mawazo tofauti. Mahakama zilizopo zinatosha. Kesi kama hii haihitaji muda mrefu. Akiisha tiwa hatiani (kwa mfano kwa ushahidi wa video kama hii) hapo hapo analimwa mvua kadhaa. Hakuna cha faini. Kwa siku hata kesi kumi zinaweza kumalizwa katika mahakama moja.
Hakika wazo lako ni zuri. Nakubaliana nawe! Unafikiri kifungo Cha miaka mingapi kingefaa kama hukumu hapo?
 
Ila mimi [SIZE=5]cocastic[/SIZE] akininyea nitafurahi sanaaaaa
Au siyo?!
IMG_20250815_153936.jpg
IMG_20250815_153859.jpg
 
Back
Top Bottom