Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?

Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni ngenga zenu hapa.
Both parties lazima zi bear accounterbility, ishu si kuliwa, ishu na wanao wa enable kijitangaza?

Hizo platform wanapewa na nani? Tabia hizo wanapewa na nani?

Comeon
 
Magonjwa ya zinaa nayo weuweeeeeeeeeee endelea tu kwani atayekuja kujutia maamuzi yake ni nani? Mnafanya ujana tu saa hii ngoja sasa utu uzima ufike mtajifunza kwa vitendo takataka kabisa.
Hayo magonjwa ya zinaa wanayapata mashoga tyuuh? Si ni wote hadi straight uchwaraa? Sasa majuto ya mwingine wee yanakugusa vipii? Acha kutisha watu hapa, ushoga haujaanza leo na hautokoma hadi mwisho wa dahari.
 
Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?

Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni

Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?

Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni ngenga zenu hapa.
Hizi ni akili za Singo Maza au mtu anaekaribia kuwa singo Maza..
 
LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA

Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736
Niliuliza kwanini wanawake wanaalika mashoga nikaambiwa hao wanaoalika mashoga hao wanawake wanafirw..aa. Kwahiyo angalia wanaoenda kwenye hizo party za mashoga nao ni double line.
Ukiona mkeo huko na humli hiyo kitu ujue ndo anakueleza ulivyo fala.
 
Ni dhahiri umechagua shari kuliko kuelewa, sasa tukianza kujibizana si itakuwa kama nakupa faraja ya mabishano unayoyataka?

****** ni mali yako ndugu, fanya utakavyo ila isiwe ni matangazo kwamba unafirwa ama kujipa some sort of umuhimu mkubwa sana kwa vile tu unafirwa.
Shari iko wapi?

Wewe kwa kuwa huwapendi mashoga unataka wakajifiche mapangoni wasionekane hadharani.

Hutaki kuona wanabinua matako kwa sababu inakukera! Wivu na kijicho! Kijiba cha roho.

Hutaki kuona wanainjoi na kunywa juisi, unaumia. Basi kanywe wewe hizo juisi.

Unataka wajifiche kwenye godauni. Unataka wajifunike baibui. Unataka wawe wanyonge wakuombe ruhusa na msamaha.

Wewe ni NDULI.
 
Both parties lazima zi bear accounterbility, ishu si kuliwa, ishu na wanao wa enable kijitangaza?

Hizo platform wanapewa na nani? Tabia hizo wanapewa na nani?

Comeon
Hivi hapo ni wanajitangaza? Au watu wako kwenye shughuri wanafurahia jambo lao? Kwanini muone wanajitangaza? Ili iwejee?
 
LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA

Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736
Hawa wanashangilia.nadhani hii haijaingia majumbani mwao.yaani itokee kaka yao au mdogo wao wa kiume awe hali hii.Linaonekana jambo la kufurahisha likiwa kwenye familia za wengine.Wasijidhanie wao wako salama madamu wana ndugu wa kiume na watoto wa kiume.especially pia ni wanawake.Maana maumivu kwa mwanamke ni makubwa zaidi ya mwanaume pale mtoto anapokuwa kwenye shida flani.

Naomba Mungu atusamehe kama nchi ktk hili.

Isitoshe inawezekana kuna mtu ktk hao amenufaika na kuwepo kwa shoga ktk sherehe hiyo. anaweka hiyo video kwenye funding application ya donors kwamba anasaidia makundi maalumu.anapata dolors kadhaa
 
Back
Top Bottom