Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Sasa huyo mwanaume mwenye akili timamu si ndio anawafokoa.
Acha kabisa, tena ukutane na mume wa mtu mwenye upwiru, ni utafokolewa mpaka kinyeo kichanganyikiwe.

Haswa ukutane na mume wa mtu mwenye stress za kunyimwa mbunye na mkewe 🤣🤣🤣

Utanyooshwa haswaa 😂😂😂
 
Kila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.

Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?

Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.

Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.

Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.

Kalamu si unayo? wino unao? Kaandike sheria kisha uiprinti tuanze utekelezaji.

Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.

Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.

Ukitaka kuvaa nepi unaambiwa acha! Unapigwa rungu! Hivi nepi nayo ni kitu ya kumyima mtu! Sheria imezuia, usijambe, usivae nepi!

Cc: Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania
Ona jinga moja hili. Yaani hapa unaona umeongea hoja ya msingi kweli kweli na unaongea hivi ili kulisaidia taifa na jamii yako kuwa bora zaidi?
 
Back
Top Bottom