cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Gazeti hili limeandikwa huku machozi yakibubujikwaaa.Yaani ni sawa Tanzania ipo kwenye vita na taifa lingine halafu wewe badala ya kusaidia kupigana na maadui unakataza kuuwa askari wa Tanzania ambao ni wenzako.
Au kwenye mechi,wewe ni mchezaji wa Tanzania mkicheza na team ya ugenini. Badala ya kukimbiza mpira kwenye goli la ugenini wewe unaurejesha tena mpira kwenye goli la Tanzania ili ukafunge.
Sasa wenzako wanatoa visababishi hapo kwamba wanawake huwa ni kawaida yao kuandaa party na kufanya na mashoga tena comfortably.
Hao wanaume wanaofanya ngono na mashoga kwanza huwa unaona wakijiweka wazi kama hao wanawake wanaoshirikiana nao katika shughuli za kijamii?
Je, ili wawe mashoga ulitaka wafanye na wanawake pekee?
Mfano ukiulizwa kwanini hii comment imekukera utaweza kuelezea? Yaani umekasilishwa na kitu gani hapa nikikuuliza kwasababu aliyeleta uzi amepambana na tatizo la ushoga ambalo si jambo zuri wewe unakwenda straight kumuattack as if anachokemea wewe kinakufurahisha au ni jambo zuri kwenye jamii.
Nadhani ni muda wa kujitafakari kwa kina.
Watuuu weuweeeeee!!! 😂😂😂😂😂😂