Kila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.
Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?
Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.
Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.
Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.
Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.
Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.
Cc:
Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania