Katiba ipi unayozungumzia wewe mimi katiba ninayo hapa na hakuna sehemu imetamka wala kutambua mwanaume na mwanaume kuwa kimahusiano,nenda kaisome katiba ya jamuhuri imeweka bayana kuwa inatambua mwanaume na mwanamke katika eneo la ndoa na mahusiano.
Wewe unaongelea tamko la haki za binadamu ambalo kwa mataifa ya magharibi wameelekeza liongezewe kutambua haki za mahusiano ya jinsia moja hivyo basi kila taifa lililoridhia mikataba ya haki za binadamu wanatakiwa kuridhia pia hilo takwa la kimagharibi.
Sasa sijui katiba yako wewe uliitunga chumbani mwako ikapitishwa wapi na kusainiwa wapi kuwa sheria.
Mashoga kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania,ibara ya 14"Kila mtu ana haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii ulinzi wa maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Mashoga hapa wanapewa haki ya kutodhurumiwa uhai bila sababu za kisheria.
Lakini pia ukumbuke ushoga haupigwi vita kwa chuki binafsi bali kuna sababu za kimsingi kabisa.
1. Ushoga ni kinyume na maadili ya kitanzania ambayo ni maadili ya kiafrika kwa ujumla yanabatilisha mahusiano ya wanaume na wanaume kwasababu:
(a) Yanashusha hadhi ya uanaume katika jamii na
Kuwafedhehesha wanaume mbele ya jamii.
(b) Yanaharibu taswira ya baba kama kiongozi wa familia kwenye jamii ya kiafrika.
(c) Ni kitendo cha uchafu kinyume na usafi wa mwili.
(d) Mizimu na matambiko ya kiafrika yanatazamia hiyo tabia kama laana katika ibada zao popote pale ukienda na ni kasirisho kwa mababu.
2. kupitia imani zote zinazo abudu mwenyezi MUNGU amekataza hii tabia na sababu zipo kabisa,kasome vitabu vya kiimani utayaona makatazo na maelezo yake. Sasa utuambie wewe unaabudu takataka gani hadi MUNGU ubishane na maagizo yake na kusikiliza hayo unayoamini kuwa ni maagizo sahihi kwako.
3. Kijamii ushoga unabatilishwa kwasababu wanaume kwa wanaume hawawezi kupata watoto hivyo ni kitendo ambacho hakina matunda na hakuna mzazi anazaa mtoto wake wa kiume ili aje kupoteza muda wake duniani bila kuzaliana na kuleta wajukuu.
4. Sababu za kijinsia kwa wanaume. Mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile ni kosa kubwa katika uumbaji wake na inazima nuru yake ya kiume. Kwa kifupi ushoga unapunguza kwa kasi idadi ya wanaume rijali na imara ambao taifa linawategemea kama wajenzi wa jamii bora. Tafuta shoga ambaye amerudi kuwa Mwanaume wa kawaida nitakuletea mlima Kilimanjaro hadi ulipo kwa gharama zangu kama zawadi.
5. Sababu za kiusafi mwilini. Ushoga ni tabia ya uchafu. Imagine kumuingilia mtu njia ambayo inatoa choo au haja kubwa unaweza kupata picha. Kwenye mahoteli wameshaweka hadi katazo saa hii mwanaume mkienda wawili mkasema mlale chumba kimoja lodge nyingi wanakataza. Ukitaka kujua sababu nenda kawaulize mimi nilishafuatilia so najua.
6. Ushoga ni tatizo la kiakili. Kitendo cha kufanya kinyume na maumbile si kitendo cha kufanywa na mtu timamu kiakili. Hata mtoto au mnyama anajua kibaiolojia hakuna muingiliano kwa njia ya kutolea uchafu, wewe utakuwa ni mpumbavu kiasi gani kuamini kuwa kile kitendo ni sawa na serikali iunge mkono. Kusapoti maana yake unaridhia uwepo wa wendawazimu kama sehemu ya wanajamii na wakubalike.
7. Ushoga chanzo kikuu cha magonjwa ya zinaa. Magonjwa mengi unayoyaona leo tunateswa nayo chanzo ni wapumbavu walioona sehemu ya haja kubwa uume unaweza kuchomekwa kwa starehe zao za umalaya kama
cocastic. Ile njia wakikuwekea sampuli ya cotton swab iliyogusishwa kule ndani ukaona virusi na bakteria wanaotengenezwa na njia hiyo unaweza usisafishe kwa mikono yako ukienda msalani.
Hatari iliyopo ni kwamba kuna watu anachomeka uume kule kisha anarudisha kwenye uke then huyu mwanamke akakwenda kulala na watu wengine kushare nao vyombo,choo,nguo na kusambaza virusi wa hatari sana. Magonjwa kama gonorrhea, Herpes, Monkey Pox, Ebola, ukimwi, Chlamydia, syphilis,HPV, na trichomoniasis virusi wake wapo associated na ngono kwa njia ya haja kubwa.
Ntakupa area ya kujifunza, mji wa Atlanta marekani. Unaoongoza kwa population kubwa ya mashoga USA fuatilia documentary zao kuhusu ushoga na matokeo yake na muingiliano na watu heterosexual. Wanaelezea vema sana hii cha chanzo cha haya magonjwa. Kuna case moja ya mashoga wawili kupata monkey pox,na mbwa wao alikutwa na monkey pox, case nyingine ni ya mashoga walio adopt watoto wa kiume wawili,walikutwa na Monkey pox na watoto waliambukizwa pia na ikagundulika kutokea hapo kuwa walikuwa wakiwaingilia kingono watoto.
Niishie hapa maana nina mengi sana ya kusema ila najizuia. Uhalali wa kukataa ushoga na kuupiga vita ili kuutokomeza upo wazi na wanaowapinga na kuwapiga vita mashoga wanatakiwa kuongezewa vikosi na silaha ili hii tabia ikomee na kizazi chetu.
Habari za kusema eti haya mambo yalikuwapo tokea enzi kwahiyo kuyapiga vita ni kupoteza muda nitakuuliza na wewe,mbona watu wenye Hekima na akili wamekuwapo tokea kuumbwa ulimwengu enzi na enzi why umechagua kutetea na kusimama upande wa wakosa akili na hekima,wendawazimu,wanaharamu,wakosa adabu na maadili na washenzi wa jamii. Why umechagua kutetea upande huo ama na wewe ni miongoni mwao?
Kama ni miongoni mwao kwann sasa upo na sisi hapa katika mijadala hii?