econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Lissu alipinga hadharani, kwakisingizio et ni mambo ya faragha.
Lissu alipinga Nini?. Punguza uongo. Lissu alidai kufuatilia watu vyumbani ni kuungilia faragha yao hakusema ana sapoti ushoga.
Lissu alipinga hadharani, kwakisingizio et ni mambo ya faragha.
Kuna Hawa wanaojianika kabisa wana biashara kubwa tuu, saloon za kike iwe kusuka, make up, mpk nails,Kinacho nifikirisha HIVI HAO mashoga HELA wanatoaga wapi, YANI Yana HELA MPAKA unajiuliza Hawa WATU mtandao WAO NAHISI ni mkubwa
Full stop, kwishaaaaa
🤣🤣Hii mbona ilishaanza ila kuna chama fulani hv cha siasa kilipinga na kusema huko n kuingilia haki za binadamu
Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?
Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni ngenga zenu hapa.
Em ongeza sauti hadi wanaume uchwara viziwi wasikieee. LolYaaan kuna watoto wameanza kuchezeana huko seminarini na uboyzini kimya kimya
Wengine wameliwa kisa tamaa,,
Wengine wameliwa na wajomba zao, mabinamu,
Kiuhalisia hapo mama au dada kaingiaje ??
Ushoga ili ufe ikiwa MABASHA wataacha kusukumizia wenzao dushe basi hakuna ushoga.
Mashoga wengi(sio wote) hasa hao wa uswazi wamekosa malezi ya baba, jiulize kwanza nyie wababa mnakosea wapi. Mpo busy kucreate single mothers mkidhani mnawakomoa wanawake kumbe mnaharibu kizazi chenu wenyeweMuheshimiwa Dkt. Gwajima D unatusaidiaje mama yetu kwenye hili janga?
Tunaomba useme neno tufarijike akina baba sisi mbona wanawake wenzako wamekua mstari wa mbele kuendekeza haya mambo ya ushoga.
Waendelee kwa wingi, ikiwa wameamua kuwa hivyo, uhuru ni wao kuwa wanachotaka.Kwa una maoni gani kuhusu ongezeko la machoko?
Washakuvunja hata kichurachura hurukiKwahiyoo? 😂😂😂😂
Yale yale kwani mwanamke akifanya ngono kwa njia ya haja kubwa bado si inakuwa ni kinyume na maumbile au unahisi tukisema kinyume na maumbile hao wanawake wanatolewa nje ya lawama?Wee nae kwani hivyo vyote unavyosema hao straight uchwara hawapatii? Mbona kuna wanawake nao wanaliwa nnya, vipi hii haiwahusuu?
Waache watu watumie miili yao kadri ya watakavyo. Lol
Huyo hawezi kufanya lolote ataishia kupita tu kama kimvuli Anajua kwamba akiwagusa hao tu Wahisani wao EU watawajia Juu Sana na kuwanyima Mikopo na wao ndio wanazitegemea hizo pesa Kwa kunufaisha Maisha YaoMuheshimiwa Dkt. Gwajima D unatusaidiaje mama yetu kwenye hili janga?
Tunaomba useme neno tufarijike akina baba sisi mbona wanawake wenzako wamekua mstari wa mbele kuendekeza haya mambo ya ushoga.
Mimi pia. Mwenye ukaribu na watu hao ni adui yangu. Wakati Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, alitoa kauli nzito ya kupingana na watu hao. Wizara ya Mambo ya Nje ikatoa kauli kwamba agizo la Makonda lilikuwa lake binafsi na siyo msimamo wa Serekali. Yaani mpaka Serekali inaogopa kusema wazi msimamo wake!!!Mungu alinde vizazi vyetu,mtu yeyote mwenye ukaribu na shoga ni Adui yangu!!!!
Waambie hawa watu, hata hawajui nn wanacho zungumza, ni wa kuhurumiwa tyuuh.Lissu alipinga Nini?. Punguza uongo. Lissu alidai kufuatilia watu vyumbani ni kuungilia faragha yao hakusema ana sapoti ushoga.
Chapati kivip mkuu ?Kuna wakati Poor Brain aliwahi kusema Monetary doctor ni chapati nikadhani utani, nimeona comments zake ,nimeammini haswwaaaaa!!!!
JF INA CHAPATI WENGI AISEEE.
Hawana hoja yoyote zaidi ya kusema mashoga waachwe waishi maisha yao.Sijui kwa nini mjadala wenye hoja ya ushoga ndani yake unakuwa mkubwa kiasi hiki.
Wengi wetu ushoga ni chukizo kubwa , ushahidi ni maoni ya watu kwenye mijadala hio ikiwepo uzi huu.
Watetezi pamoja na kuwa wazuri kwenye kujenga hoja lakini hawajaweza kuwa na hoja ya nguvu dhidi ya wanao pinga.
Chezea LGBTQI Weyeeee, yaan ukiona hilo neno kuwa mpoleeee, maana ni untouchable forever.Mimi pia. Mwenye ukaribu na watu hao ni adui yangu. Wakati Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, alitoa kauli nzito ya kupingana na watu hao. Wizara ya Mambo ya Nje ikatoa kauli kwamba agizo la Makonda lilikuwa lake binafsi na siyo msimamo wa Serekali. Yaani mpaka Serekali inaogopa kusema wazi msimamo wake!!!
Kuna mwingine naona kani mention huko 😂 😂 ashukuru Leo ijumaaEm ongeza sauti hadi wanaume uchwara viziwi wasikieee. Lol
😂😂😂😂😂