Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Hapo ****** umeshakuwa mpana Muthill ya mdomo wa chupa ya pepsi
FB_IMG_1742993525843.jpg

Litakuwa linafanana na kitu kama hiki.
 
Sijui kwa nini mjadala wenye hoja ya ushoga ndani yake unakuwa mkubwa kiasi hiki.
Wengi wetu ushoga ni chukizo kubwa , ushahidi ni maoni ya watu kwenye mijadala hio ikiwepo uzi huu.

Watetezi pamoja na kuwa wazuri kwenye kujenga hoja lakini hawajaweza kuwa na hoja ya nguvu dhidi ya wanao pinga.
Sasa hoja ya nguvu kwa keyboard? Km kweli wapingaji wana hoja nguvu na zinaeleweka, si wafanye utekelezaji?

Kulia na kuhemkwa kwa keyboard inasaidia nn? Kweli kuongoza wabongo ni simple sanaa.
😂😂😂😂😂
 
Ni muhimu kutofautisha kati ya maendeleo ya kijamii na kupoteza mwelekeo wa maadili na utambulisho wetu kama taifa. Tanzania ni nchi yenye misingi ya mila, desturi, na maadili ya Kiafrika yanayotambua ndoa na mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke kama msingi wa familia na jamii. Hii siyo “tabia ya kimazoea” bali ni sehemu ya utambulisho wetu wa kimsingi unaotufanya kuwa mtanzania

Ni kweli si kila kitu kilichopo sasa kilikuwepo zamani, lakini si kila mabadiliko ni maendeleo. Kuna tofauti kati ya maendeleo ya kisayansi au kiuchumi na kubadili maadili kwa misingi ya “uhuru wa mtu binafsi” bila kujali athari zake kijamii.

Hoja kwamba “ushoga sio tatizo” wakati ujinga, umaskini na uchumi ni matatizo, haimaanishi tushirikiane kuhalalisha ushoga. Ni sawa na kusema “tusilalamike kuhusu rushwa kwa sababu njaa ipo.” Maovu hayawezi kuhalalishana and it actual bullshit
Sometimes kuandika sana naona napotezaga muda na energy na afu hakuna chochote kinacho badilika.

Nikurahisishie sasa, haya uliyo yaandika, yafanyie vitendo, afu uje unipe mrejesho, kubishana humu nilikua zamani, sio sasa,

Tunabishana kwa keyboard, afu huko kwa ground mambo yanaendelea km kawa, nn sasa?

Tokeni uraiani na mfanye haya mnayo yaandika humu jukwaani. Lol
 
Maandiko yalituonya na kutoa adhabu kwa hawa wajinga wakaja mashetani wanajifanya wanatetea haki za binaadamu na kuhamasisha huu ufuska. Usitegemee neema na baraka .
 
NASEMAJE WANAWAKE IMPACT YAO NI NDOGO,

TATIZO LA USHOGA NA KUONGEZEKA KWA MASHOGA NA ******* NI BAADHI NA KUNDI LA WANAUME WANAOITWA MABASHA,,,

HII POINT YA KUWASINGIZIA KINA DADA/WANAWAKE SIJUI MNATUMIA AKILI ZENU VZR ??

WANAO WA *** NI KINA DADA ? TENA UNAKUTA MPK WANAUME WENYE NDOA WANA IMPORT WANAUME WENZAO,

WANAKUWA NA UKARIBU NA WANAWAKE KWA SABABU MARA NYINGI WANAONA WOTE NI AINA MOJA,, PIA WENGI WANA SALOON, MAKEUP NA KUFANYA FASHION HIVYO WATEJA WAO NI WANAWAKE.

NIMETOA MAONI SASA WEWE WEHUKA HUKO
 
Lissu alipinga hadharani, kwakisingizio et ni mambo ya faragha.
Rais Samia alitangaza wazi wazi wafanyane wakubwa kwa wakubwa,

Magufuli alimkana makonda, kuwa ni msimamo binafsi, sio serikali, official release hiyo ilitolewa chini ya wizara ya mambo ya nje, waziri akiwa Balozi Mahiga.

Lissu alisema hiyo hoja ya faragha, kwa kilichomo ndani ya katiba, ktk kifungu cha kanuni na ibara yake.

Em acha kusingizia watu uongo hapaa.
 
NASEMAJE WANAWAKE IMPACT YAO NI NDOGO,

TATIZO LA USHOGA NA KUONGEZEKA KWA MASHOGA NA ******* NI BAADHI NA KUNDI LA WANAUME WANAOITWA MABASHA,,,

HII POINT YA KUWASINGIZIA KINA DADA/WANAWAKE SIJUI MNATUMIA AKILI ZENU VZR ??

WANAO WA JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala NI KINA DADA ? TENA UNAKUTA MPK WANAUME WENYE NDOA WANA IMPORT WANAUME WENZAO,

WANAKUWA NA UKARIBU NA WANAWAKE KWA SABABU MARA NYINGI WANAONA WOTE NI AINA MOJA,, PIA WENGI WANA SALOON, MAKEUP NA KUFANYA FASHION HIVYO WATEJA WAO NI WANAWAKE.

NIMETOA MAONI SASA WEWE WEHUKA HUKO
Subiri wanaume uchwaraa waje kulipuka kwa hii comment yakoo.
😂😂😂😂😂😂 uzi ufungweee.
 
Ukichunguza sana wanawake hasa ndio wanaendekeza ujinga wa hawa wapumbuvu, tena hasa ma single mama.

huwezi ona mwanaume mwenye akili zake timamu au mwanamke mwenye mahusiano yake thabiti kualika mashoga kwenye shughuli zao na kufanya vituko.
Lakini wanaume ndo wanaowafira hawa machoko
 
Kinacho nifikirisha HIVI HAO mashoga HELA wanatoaga wapi, YANI Yana HELA MPAKA unajiuliza Hawa WATU mtandao WAO NAHISI ni mkubwa


Full stop, kwishaaaaa
 
Thubutuu yake, labda km amechoka kuwa waziri, unadhani haoni hayo mambo? Aulize wenzie kilichowakuta na serikali iliwakana.

Na mtalia sana, yaan hapo badoooo.
Wasengeeeee hoyeeeeeee!!! 😂😂😂😂😂😂😂
Wewe utakua bwabwa sio bure.
 
Subiri wanaume uchwaraa waje kulipuka kwa hii comment yakoo.
😂😂😂😂😂😂 uzi ufungweee.
Yaaan kuna watoto wameanza kuchezeana huko seminarini na uboyzini kimya kimya

Wengine wameliwa kisa tamaa,,

Wengine wameliwa na wajomba zao, mabinamu,

Kiuhalisia hapo mama au dada kaingiaje ??

Ushoga ili ufe ikiwa MABASHA wataacha kusukumizia wenzao dushe basi hakuna ushoga.
 
Back
Top Bottom