Kila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.
Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?
Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.
Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.
Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.
Kalamu si unayo? wino unao? Kaandike sheria kisha uiprinti tuanze utekelezaji.
Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.
Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.
Ukitaka kuvaa nepi unaambiwa acha! Unapigwa rungu! Hivi nepi nayo ni kitu ya kumnyima mtu! Sheria imezuia, usijambe, usivae nepi!
Cc:
Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania