Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Kwa nini serikali ishindwe kuzuia gays wakati ina mamlaka Kila Kona? Raisi akitoa tamko tu, mashoga wooote watasalimu amri
Mbona Rais ndo alitoa tamko, wafanyane wakubwa kwa wakubwa, au unataka atoe tamko mara ngapi?
Mashoga ruksaa hapa nchini, wanatamba watakavyoo.
 
Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!
Hawa Mabasha zao ndio hao wabunge, usalama wa Taifa na Viongozi wakubwa wa Serikali Kuna dogo mmoja tumetoka kumhoji juzi kati daah ametutajia watu wenye profile zao wakubwa Dodoma wanaowatumia nauli kuwasodomize na kufanya huo ushenzi Yani sikuamini kama ndio tumefika hapa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fb wamejaa sana, utaona mwanaume mjinga anaanza kukufuata inbox eti nimekuelewa nataka tuwe marafiki. Unamuuliza sitayati tu marafiki humu fb, bila aibu anasema nataka nikupe tunda 🀬😀🀬 Nitakuja kuua mtoto wa mtu eh!
Wee nae acha mikwara yako, huna lolote.
Mxxxxiiiiieeeeew!!
 
Mnaopigishana kelele na mashoga humu mnatakiwa muelewe hao ni aina fulani ya jamii iliyojitoa muhanga kweli kweli yaani fahamu hawana ustaarabu zero in short hawajitambui,mnavyoendelea kuandika wanadhani wao ni muhimu sana kiasi cha kuzungumzwa na watu kila mara kumbe sivyo ni takataka tu zinazopumua.

Hao wengi ni wagonjwa,kwanza wa akili na maradhi mengine HIV included hao achaneni nao dunia itawafundisha.
 
Waziri Gwajima aone hii. Ila watu wakusaidia sana ni hawa kina mama wanaowaendekeza hawa vijana. Hivi unawezaje kuwa hivi ikiwa wewe unazaa jamani?
Inasikitisha.

Ukikatiza Mwananyamala utatokwa machozi salon za kike za kule wamejazwa watoto wa kiume vimechokeana (sijui ndiyo vinaumwa) vimevalishwa blouse na skinny jeans hiyo mijimama ndiyo utakuta inacheka cheka nao,ni mtihani!
 
Back
Top Bottom