Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Mnaopigishana kelele na mashoga humu mnatakiwa muelewe hao ni aina fulani ya jamii iliyojitoa muhanga kweli kweli yaani fahamu hawana ustaarabu zero in short hawajitambui,mnavyoendelea kuandika wanadhani wao ni muhimu sana kiasi cha kuzungumzwa na watu kila mara kumbe sivyo ni takataka tu zinazopumua.

Hao wengi ni wagonjwa,kwanza wa akili na maradhi mengine HIV included hao achaneni nao dunia itawafundisha.
Big point🤝🤝
 
Fb wamejaa sana, utaona mwanaume mjinga anaanza kukufuata inbox eti nimekuelewa nataka tuwe marafiki. Unamuuliza sitayati tu marafiki humu fb, bila aibu anasema nataka nikupe tunda 🤬😤🤬 Nitakuja kuua mtoto wa mtu eh!
Njoo nikupe tunda 😂😂😂😂😂🙌🙌
 
Hawa Mabasha zao ndio hao wabunge, usalama wa Taifa na Viongozi wakubwa wa Serikali Kuna dogo mmoja tumetoka kumhoji juzi kati daah ametutajia watu wenye profile zao wakubwa Dodoma wanaowatumia nauli kuwasodomize na kufanya huo ushenzi Yani sikuamini kama ndio tumefika hapa
Duh 🙄 🙄 !! Dunia ina Siri.Sasa viongozi kufanya hivyo sababu ni nini? Si wana hela na wake zao?
 
Kuna mmoja alitaka kunizoea mtaani,nafikiri hawezi kunisahau kila akitoa salamu anakutana na buyu siku hyo ameongozana na vdada viwili wamenikuta mgahawani salamu tena mi kimyaa..! kaka nakusalimia mimi kimyaa.. #minaonamkositu kidada kimoja kinaniambia kaka unapoteza bahati
Bahati ya konyo😎😎😎😎
Mimi hata nikikutana na shoga barabarani naona siku yangu imeharibika!!
 
Mnaopigishana kelele na mashoga humu mnatakiwa muelewe hao ni aina fulani ya jamii iliyojitoa muhanga kweli kweli yaani fahamu hawana ustaarabu zero in short hawajitambui,mnavyoendelea kuandika wanadhani wao ni muhimu sana kiasi cha kuzungumzwa na watu kila mara kumbe sivyo ni takataka tu zinazopumua.

Hao wengi ni wagonjwa,kwanza wa akili na maradhi mengine HIV included hao achaneni nao dunia itawafundisha.
Straight uchwara kujitambua kwenye ngono au? Mngekua mnajitambua nchi ingekua hoe hae hivii? Ustaarabu gani unao zungumza wee hapa? Kununua Malaya na makahaba? Kuzalisha single mama, na watoto wa mtaani?

Ni wa muhimu yes ndo maana kutwa mnawazungumzia, wangekua takataka km usemavyo si mngewapotezea kule.

Wagonjwa wa akili na maradhi ni Pa1 na hao straight uchwara, ndoa kila siku chalii, malalamiko ya mahusiano kede kede humu, nyuzi za wagonjwa wa zinaa zinatamalaki humu kwa straight uchwara, mara UTI sugu, mara HPV, mara sundo sundo, mara uume unalika, full tafranii.

Em njoo na hoja za maana, hizi zako ni porojoo na hazistui kwani, kwa kifupi umepuyanga, em rudi upya tena.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom