Du!,
Kwanza asante Shinyanga Kwenu kutuletea breaking news asubuhi subuhi, hii inaendeleza hadhi ya jf, ya be the first to know, 24/7.
Eneo hilo lina ulizi 24/7. Kishindo tuu cha ajali kingewaamsha askari hapo kituo cha Salender, hivyo hilo Lori hata kama limekimbia, dereva anakuwa emetoroka tuu eneo la ajali, na kwenda kulitelekeza mahali salama.
Wish a get well soon kwa muhanga wa ajali hiyo.
NB. Wito kwa wana jf, wanunue vilonga longa vya hali ya juu iwezekanavyo kwa kadri uchumi wao unaruhusu ili kuvitumia vilonga longa hivyo kama chombo cha upashanaji habari. Kutatusaidia kupata picha za good quality wakati wowote.
Pasco