shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Hebu malizia usingizi kisha uje uandike upyaKuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na kuhusu za kumtoa zilokuwa zikiendelea,mwenye lory kakimbia Picha ina Giza View attachment 423810
Umetuma picha? Giza?Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na juhudi za kumtoa zilikuwa zikiendelea,mwenye lory kakimbia Picha ina Giza View attachment 423810
Kwani maneno yangu ya mwisho mawili yanasemaje mkuuUmetuma picha? Giza?
Mkuu ni kweli umesema picha ina giza kwenye hiyo picha aka giza nini kinaonekana kulink na ajali?Kwani maneno yangu ya mwisho mawili yanasemaje mkuu
Uharaka mkuu na mapoliccm mawili yalikuwa yananizuia kuchukua Picha,nextime ntakuja vemaMkuu ni kweli umesema picha ina giza kwenye hiyo picha aka giza nini kinaonekana kulink na ajali?
Picha ina giza au hakuna picha bali giza. Au wewe unaiona huko kwako? Mbona huonekani kama ulitoa msaads kwa mhanga?Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na juhudi za kumtoa zilikuwa zikiendelea,mwenye lory kakimbia Picha ina Giza View attachment 423810
Kati ya 5 basi 4 wana shida iliyoainishwa kwenye ule utafitiMadereva wa malori wengi hawana akili vizuri
Mkuu ati next time....? Haaaaaaa unasemaaaaa? Next time?Uharaka mkuu na mapoliccm mawili yalikuwa yananizuia kuchukua Picha,nextime ntakuja vema
Mkuu unatumia sim aina gani?Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na juhudi za kumtoa zilikuwa zikiendelea,mwenye lory kakimbia Picha ina Giza View attachment 423810
sio wa malori tu, hata wa nchi!Madereva wa malori wengi hawana akili vizuri
Nokia 3210 mkubwa wanguMkuu unatumia sim aina gani?
Kiongozi Thanks kwa info ila Kampuni iliyotengeza simu yako Mungu anawaona.
#Get_Well_Soon_Mother_wa_Kihindi_mwenye_x5.