Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini.

Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium.

Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue

1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce karibu na uwanja wa taifa

2. Mivinjeni primary school ipo kurasini kituo cha mivinjeni

3. Mikongeni primary school ipo gongo la mboto

4. Mlimani udsm primary school ipo udsm main campus

5. Mapambano primary school ipo sinza

6. Ubungo NHC primary school ipo ubungo

7. Reginald mengi primary school ipo ubungo pia

8. Ali Hassan Mwinyi primary school ipo wilaya ya kinondoni

9. Mwenge primary school ipo mwenge

10. Mirambo primary school ipo mwenge

11. Bunju Mkoani primary school ipo bunju
 
Asante sana kwa taarifa
 
Wangezifanya nyingi kidogo ingeleta afadhali .
Ada zao ni nafuu saba na hata utoaji wa elimu ni mkubwa pia.
 
Umenikumbusha mbali, nilisoma olympio enzi hizo haijagawanywa kuwa olympio na diamond, tulimaliza darasa la saba tupo zaidi ya 200 mikondo mitano 😂
Shule za mjini zina wanafunzi wengi sana.
Sisi darasa letu tulikua 42 waliotufuatia toka la sita hadi la kwanza walikua hawazidi 25.
 
Taarifa nzuri.
Waalimu wenye sifa na wa kutosha wapo?
Au wamebakizwa walewale wa 'ze ze tebo'?
 
😂 😂 😂 Hamna kitu mle!

Kuna mshikaji alimtoa mtoto wake private akampleka hiyo ya gongo la mboto, aisee kila siku mtoto alikuwa ana drop tu.

Kwanza picha linaanza darasa 1 lina watoto 200, mwalimu hata pa kukanyaga akiingia darasani hapapo.

Ni uharo mtupu
 
Si tumekubaliana hizi za Kayumba ndio ziko poa na tuhamishie watoto wetu huko.......sasa mbona wanazibadilisha kuwa EM's tena? kulikoni!!
 
Back
Top Bottom