Dar kuna wanawake wengi kuliko wanaume

Mbona unatisha watu...hakuna jipya wengi n wazuri nje ndani korongo k ya baridi ovyo kabisa
 
Dah! Chaka jipya hili, kesho nitaenda hapo makumbusho stand pale.. mapema tu nipo pale..
 
Mbona unatisha watu...hakuna jipya wengi n wazuri nje ndani korongo k ya baridi ovyo kabisa
Hapn mkuu mie nakusaidia tu!! ukienda uwe na akili hizi mbili!! pia sometimes wanakulia timing wanajifanya kukushika ugoni uko na mke wao lengo uliwe tyuuu nyaa!! na mkwanja wako uliouza ng'ombe pale pugu mnadani unachukuliwa wote!!demu atajiliza tu.

sasa km ni hivi utaanzaje kwenda polisi?? mi nakwambia sababu nilikuwa idara nyeti hapo bongo! hata wale k zao siyo baridi wakikupenda wanatumiaga shabu ili iwe mnato!! wasipo kupenda wanaweka ky jelly inakuwa baridi ili ukojoe faster usepe!! aje mwingine!!

Hawataki ukoree! ki viile uwe wa kudumu wkt huna gari!! unawachelewesha kwa wateja wao wengine wa kudumu! wenye mkwanja mrefu! some times wanawahi bungeni!! wanajazia jazia tu hapo mapene!

ujue wengine wana mabaunsa pembeni, na ile mibaunsa ni mishoga pia!! halafu ina piga nyaa pia kote kote !! yaani linakupa wewe kwanza ulifanye weee!! sasa kataa uone!! linakugeuza faster mwana wee!!

baada ya hapo linakupa mpunga!! utauacha mkuu nijibu kwanza hapa!!...halafu nikwambie kitachofuata...
 
Niko sehem nimekaa hapa, yani wanaopita ni wanawake wengiwao, halafu wazuri! Yani Dar bana

Mpaka nafikiria huko mikoani watu wanaishije? Wanakosa mengi sana
Mkuu waangalie vizuri hasa kidevuni hao wengine ni kina James delicious au bob risk waliochangamka
 
Kabisa mkuu. Pia Dar es salaam jiji pekee ambalo ni ngumu sana kumtofautisha mwanamke na baadhi ya wanaume. Mfano kuna wanaume wanafanya haya mambo ya kike:-

a) Wanavaa nguo za kubana matako ili wafanane na wanawake.

b) Wanaume wa Dar wanajichubua.

c) Wanavaa visuruali vinavyoishia mapajani ambavyo huwabana matakle na mapaja. Wao wanaita vinjunga.

d) Wanapenda kunukia kama dada zao. Usishangae kumkuta mwanaume wa Dar ananukia kama ki-strawberry strawberry.

e) Wanapenda vioo kama dada zao. Kujiangalia matakle na sura.

f) Wanapenda kulelewa kama dada zao au mama zao.

Wanakera sana hawa jama wa Darislamu.
 
Haaahaaha Yaani we mwamba bhana, ukijisikiaga kufungua uzi unafungua hata sita na zote unazipush ile ile.
 
Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Siyo kweli mkuu labda kama unapenda madada poa, wadada wanaokaa buguruni, tandale, magomeni, mbagala na gongo la mboto.

Kama una-date na wanawake Wenye hadhi yao bila kuwa na mpunga wa maana humpati mkuu.

1. Pesa ya kusuka na kutengeza kucha Tshs 70000/=

2. Umuwekee mafuta full tank 60000/= ingawa inategemea anaendesha gari gani.

2. Uandae pesa ya kutosha ya lunch au dinner. Minimum Tshs 150,000 to maximum Tshs 500,000/=

3. Pesa ya asante au hela ya kukupa huduma Tshs 200,000/=

Sehemu za kula bata:

1. Cape Town
2. Karambezi
3. Samaki samaki
4. Ramada
5. See breeze
 
Wanawake wapo mkoani ndio uta enjoy Dar kuna wasaka noti tu jichanganye uingie kichwa kichwa maku hakuna kabisa ni ma makeup ma masponchi we unaona mashep.
 
Dah! Chaka jipya hili, kesho nitaenda hapo makumbusho stand pale.. mapema tu nipo pale..
Attacking angle ni pale kwenye gari za kwenda Posta na Bajaji za Posta.


Angalizo sije ukawakatalia kupanda gari za Posta maana wengi wanavaa suruali Official kama za yule mbunge aliyetolewa na Job mjengoni.
 
Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Hiyo ilikuwa zamani, siku hizi Wanawake wa mkoani wanagawa papuchi hovyo na wengine ndio hao wamekimbilia Dar kujiuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…