Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mademu wa Dar wanaongea kibiashara ndio maana wepesi😅 hela yako tu!Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mademu wa Dar wanaongea kibiashara ndio maana wepesi😅 hela yako tu!Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Mbona unatisha watu...hakuna jipya wengi n wazuri nje ndani korongo k ya baridi ovyo kabisaAngalia huyu soon!!! utafanywa Bwabwa tena kwa lazima hao unao dhani ni wanawake ni madume haswaaa!! yana mishedede tena hatari!!
ila hayatongozi wanawake wanawakataa!! hivyo yana usongo hayo!! hee hapo sasa yako mawindoni yanatafuta Bikra za nyaa za me kutoka bara!! hasa wanokula ugali wa ulezi ni watamu sana!! kwanza ni pana halafu ngumu wanapendaga sana,
Km Mkoa wako una kula sana Ugali wa mtama na ulezi jichunge wanapendwa mno but wanaulizaga kwanza hapo utagharimiwa kila kitu!! jichanganye kutongoza uone muziki wake!!
uta rwafi wewe mpaka uzae nao kisicho julikana hayaaa!!! yangu ni hayo wewe jipendekeze tu! kusifia sifia ! uanatakiwa upite km huwaoni vile wanajua huyu wa hapa hapa!! lkn shingo feni maweeee!! asusa......
Dah! Chaka jipya hili, kesho nitaenda hapo makumbusho stand pale.. mapema tu nipo pale..Mkuu hapo Mlimani City wengi wanaenda kama shopping,show off na recreation. Jaribu kutembelea Makumbusho Stendi siku za week au Pale Posta mpaka NBC utakutana nao wamevaa official na hawana makuu.
Hawa dada/mama zetu wanapendeza na ni wazuri kweri kweri.
Mkoa gani nije niongeze idadiKuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Hapn mkuu mie nakusaidia tu!! ukienda uwe na akili hizi mbili!! pia sometimes wanakulia timing wanajifanya kukushika ugoni uko na mke wao lengo uliwe tyuuu nyaa!! na mkwanja wako uliouza ng'ombe pale pugu mnadani unachukuliwa wote!!demu atajiliza tu.Mbona unatisha watu...hakuna jipya wengi n wazuri nje ndani korongo k ya baridi ovyo kabisa
Mkuu waangalie vizuri hasa kidevuni hao wengine ni kina James delicious au bob risk waliochangamkaNiko sehem nimekaa hapa, yani wanaopita ni wanawake wengiwao, halafu wazuri! Yani Dar bana
Mpaka nafikiria huko mikoani watu wanaishije? Wanakosa mengi sana
Mkuu ni tatizo la sayari yote...Niko sehem nimekaa hapa, yani wanaopita ni wanawake wengiwao, halafu wazuri! Yani Dar bana
Mpaka nafikiria huko mikoani watu wanaishije? Wanakosa mengi sana
Mademu wa Arusha hawaogi wakisingizia baridi. Hivyo ni wachafu sana. Pia wengi wao wana kaushamba fulani hivi amazing.Mkuu umefika Arusha?
Mbona umesahau kwenye pantoni mkuu.Maeneo hayo ukikaa utaona tunu za wanawake wa kitanzania.
Siyo kweli mkuu labda kama unapenda madada poa, wadada wanaokaa buguruni, tandale, magomeni, mbagala na gongo la mboto.Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Attacking angle ni pale kwenye gari za kwenda Posta na Bajaji za Posta.Dah! Chaka jipya hili, kesho nitaenda hapo makumbusho stand pale.. mapema tu nipo pale..
Hiyo ilikuwa zamani, siku hizi Wanawake wa mkoani wanagawa papuchi hovyo na wengine ndio hao wamekimbilia Dar kujiuza.Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri