Dar kuna wanawake wengi kuliko wanaume

Attacking angle ni pale kwenye gari za kwenda Posta na Bajaji za Posta.


Angalizo sije ukawakatalia kupanda gari za Posta maana wengi wanavaa suruali Official kama za yule mbunge aliyetolewa na Job mjengoni.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watu siku hizi wanaishi kimipango mipango tu. Lazima niasogee hapo, umekuwa mtu wa pili kunipa habari za makumbusho,sasa acha nikatekeleze jambo
 
Halafu wanawake wa Dar ni wazuri na wanajipenda.
Dodoma, Arusha na Mwanza pia wanawake wa kule si haba.
Mi mwanamke tu nashangaaga uzuri wa wanawake wenzangu sasa wanaume sijui wanajisikiaje yani.
 
G. Wanawafanya makaka wa mikoani kuitwa wajomba kupitia kwa dada zao wanaokuja kufanya kaz za housgirl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…