Kabisa mkuu. Pia Dar es salaam jiji pekee ambalo ni ngumu sana kumtofautisha mwanamke na baadhi ya wanaume. Mfano kuna wanaume wanafanya haya mambo ya kike:-
a) Wanavaa nguo za kubana matako ili wafanane na wanawake.
b) Wanaume wa Dar wanajichubua.
c) Wanavaa visuruali vinavyoishia mapajani ambavyo huwabana matakle na mapaja. Wao wanaita vinjunga.
d) Wanapenda kunukia kama dada zao. Usishangae kumkuta mwanaume wa Dar ananukia kama ki-strawberry strawberry.
e) Wanapenda vioo kama dada zao. Kujiangalia matakle na sura.
f) Wanapenda kulelewa kama dada zao au mama zao.
Wanakera sana hawa jama wa Darislamu.