Dar kuna watoto/wanawake wazur jaman daah.hiv ntaoa kwel kwa tamaa hiz

Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.

Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!

Nahisi kuna tatizo somewhere!
Umesahau na ile ya mamilionea kila anayekufa huko ni milionea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Eti mtu anakuambia Arusha kuna mchanganyiko wa watu, like serious?

Dar ina wakazi takribani milioni nne. Alafu ulinganishe na mchanganyiko wa watu wa arusha ambapo I doubt kama mnafika 1 million!

Dar ni kama bahari, mito yote na mifereji inamwaga hapa!

Anyway, sio mada zangu hizi, acha niwaachie wenyewe!
 
ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi kaka
 
Back
Top Bottom