Umesahau na ile ya mamilionea kila anayekufa huko ni milionea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.
Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!
Nahisi kuna tatizo somewhere!
ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi kakaEti mtu anakuambia Arusha kuna mchanganyiko wa watu, like serious?
Dar ina wakazi takribani milioni nne. Alafu ulinganishe na mchanganyiko wa watu wa arusha ambapo I doubt kama mnafika 1 million!
Dar ni kama bahari, mito yote na mifereji inamwaga hapa!
Anyway, sio mada zangu hizi, acha niwaachie wenyewe!
Tuombe radhi wasukuma mkuuu[emoji24] [emoji24] [emoji35]we msukuma itakuwa