Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Nitumie hela nikukatie tikiti kwa bei ya jumapili.Nataka kujua mabasi gan mazuri kwenda Tanga kutoka Dar na pia naweza pandia wap na wap na yanaondoka kuanzia muda gan hadi mwisho. Asanteni. Msiniambie nikagugo; nishatoka uko sijapata majibu yanayoeleweka
Nenda magufuli bus stand. Kuna mabasi haya in short though the list is not exaustiveNataka kujua mabasi gan mazuri kwenda Tanga kutoka Dar na pia naweza pandia wap na wap na yanaondoka kuanzia muda gan hadi mwisho. Asanteni. Msiniambie nikagugo; nishatoka uko sijapata majibu yanayoeleweka
Sasa watu wakuambie utapandia wapi wakati hujaweka location unayotokaNataka kujua mabasi gan mazuri kwenda Tanga kutoka Dar na pia naweza pandia wap na wap na yanaondoka kuanzia muda gan hadi mwisho. Asanteni. Msiniambie nikagugo; nishatoka uko sijapata majibu yanayoeleweka
Sasa na wwe ndiyo unazidi kumpoteza, mtu kasema anaenda Tanga,wwe unamwambia akapande ya Nairobi, Tanga na Nairobi wapi na wapi, bora ungemwambia apande ya Mombasa ashukie Tanga mjini kama anaenda huko,maana hata Handeni bado ni Tanga!!Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.
Nacharo wamekua waswahili.Nenda magufuli bus stand. Kuna mabasi haya in short though the list is not exaustive
1. Raha Leo
2. Tashrif
3. Moud
4. Ratco..most preferred
5. Nacharo.....most preferred
yako mengine lkn haya ndiyo habari ya tanga
Mwanaume hasusiMsiniambie nikagugo; nishatoka uko sijapata majibu yanayoeleweka
Hakuna Raqeeb ya Dar to Tanga.Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.
Ok, ni kitambo sana sasa nachanganya mafaili.Hakuna Raqeeb ya Dar to Tanga.
Raqeeb bus zake zinafanya route za Tanga to Arusha via Moshi.
Anaweza kupanda ya Mombasa via tanga...bora yeye ajue anapokwenda.Sasa na wwe ndiyo unazidi kumpoteza, mtu kasema anaenda Tanga,wwe unamwambia akapande ya Nairobi, Tanga na Nairobi wapi na wapi, bora ungemwambia apande ya Mombasa ashukie Tanga mjini kama anaenda huko,maana hata Handeni bado ni Tanga!!
Nimesema DarSasa watu wakuambie utapandia wapi wakati hujaweka location unayotoka
Anyway, kapande mbezi stand