Kama MTU ni kula kulala au wa ofisini lazima ampinge mleta Uzi Ila ungekuwa unafanya kazi za kuchanganya zege au ujenzi wa barabara ungejua kwanini jamaa anasema baridiHakuna baridi yeyote acha mbwembwe yani nyie kukiwa na mvua tu lazima mseme baridi.
Mkuu 23°c ni baridi?Kama MTU ni kula kulala au wa ofisini lazima ampinge mleta Uzi Ila ungekuwa unafanya kazi za kuchanganya zege au ujenzi wa barabara ungejua kwanini jamaa anasema baridi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani dar watu waajabu sana, utashangaa kesho watu watakavyovaa maKOTI utafiki wako Moscow..Tumsamehe mleta mada..kwake aka ka upepo ni ajabu sana ana jihisi yupo ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeh kutoka 34 hadi 24 we vpHakuna baridi yeyote acha mbwembwe yani nyie kukiwa na mvua tu lazima mseme baridi.
Daaaha! Basi inawezekana ni sehemu nyingi hali ipo hivyo. Nipo Shinyanga, baridi ni kali kinoma!Leo raha sana baridi kali kama vile upo Arusha I wish pangenoga hivi miaka yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unaishi jikoni haki vileYani dar watu waajabu sana, utashangaa kesho watu watakavyovaa maKOTI utafiki wako Moscow..
Muda huu mimi nimetoka kuoga maji direct from bombani na hakuna chochote nilichofill sasa nashangaaa anaesema kuna baridi.. ok maybe anamatatizo ya kiafya.
Mm sijui[emoji23]ni suala la wewe kujiongeza tuKwahiyo unataka kusema hali ya hewa inasapoti kupakuliwa na kuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana soon tutafika 19cHapa Arusha tuko na 21°C na sio baridi labda kwa wale wanaoishi maeneo kama Oldadai na maeneo mengine karibu na Mlima Meru ambayo kuna baridi vipindi vyote vya mwaka.