Dar leo kama Arusha sio kwa baridi hili

Dar leo kama Arusha sio kwa baridi hili

Hakuna baridi yeyote acha mbwembwe yani nyie kukiwa na mvua tu lazima mseme baridi.
Kama MTU ni kula kulala au wa ofisini lazima ampinge mleta Uzi Ila ungekuwa unafanya kazi za kuchanganya zege au ujenzi wa barabara ungejua kwanini jamaa anasema baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumsamehe mleta mada..kwake aka ka upepo ni ajabu sana ana jihisi yupo ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani dar watu waajabu sana, utashangaa kesho watu watakavyovaa maKOTI utafiki wako Moscow..
Muda huu mimi nimetoka kuoga maji direct from bombani na hakuna chochote nilichofill sasa nashangaaa anaesema kuna baridi.. ok maybe anamatatizo ya kiafya.
 
26° ni baridi?
Screenshot_20200304-200955_Weather~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ushamba na nyinyi hamuoni tofauti hapo ni karibia nyuzi saba sentigredi kulinganisha ni siku nyingine sasa mnapinga kipi hapo akisema kuna baridi?
 
Hapa Arusha tuko na 21°C na sio baridi labda kwa wale wanaoishi maeneo kama Oldadai na maeneo mengine karibu na Mlima Meru ambayo kuna baridi vipindi vyote vya mwaka.
 
Yani dar watu waajabu sana, utashangaa kesho watu watakavyovaa maKOTI utafiki wako Moscow..
Muda huu mimi nimetoka kuoga maji direct from bombani na hakuna chochote nilichofill sasa nashangaaa anaesema kuna baridi.. ok maybe anamatatizo ya kiafya.
Labda unaishi jikoni haki vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom