Yusuphsabury
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 307
- 114
Daaaha! Basi inawezekana ni sehemu nyingi hali ipo hivyo. Nipo Shinyanga, baridi ni kali kinoma!
Wachanganya zege ilo ni baridi maana wanafanya kazi katikati ya jua la utosi jombaMkuu 23°c ni baridi?
Awajui msimu wa joto kwa nchi kama Russia ni sawa na msimu wa baridi kwa Tanzania hasa kama dar ,Russia wakisema sama time ni 20C hivi hadi 16CAcheni ushamba na nyinyi hamuoni tofauti hapo ni karibia nyuzi saba sentigredi kulinganisha ni siku nyingine sasa mnapinga kipi hapo akisema kuna baridi?
Ndo nilichowashangaaAcheni ushamba na nyinyi hamuoni tofauti hapo ni karibia nyuzi saba sentigredi kulinganisha ni siku nyingine sasa mnapinga kipi hapo akisema kuna baridi?