Dar leo kama Arusha sio kwa baridi hili

Dar leo kama Arusha sio kwa baridi hili

Kama mtu amezoea joto la dar ikifika 24° lazima aone ni baridi. Na kama mtu unakaa upepo unakovuma ndio kabisaaa unajifunika blanket
 
Acheni ushamba na nyinyi hamuoni tofauti hapo ni karibia nyuzi saba sentigredi kulinganisha ni siku nyingine sasa mnapinga kipi hapo akisema kuna baridi?
Awajui msimu wa joto kwa nchi kama Russia ni sawa na msimu wa baridi kwa Tanzania hasa kama dar ,Russia wakisema sama time ni 20C hivi hadi 16C

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom