Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Nilipita Mbopo Madale nilioni kuna eneo linauzwa Milioni 30 ni Square Metre 600 lakini kwa kweli value for money naona haliendani na hilo eneo
Kwanza mpaka ufike kwenye hilo eneo kuna mashimo maana barabara ni ya vumbi na mashimo matupu, Yaani kule Mvua ikipiga kidogo tu hata IST haitoboi
Plus shule hospitali ziko mbali mtu ukipata emegency ya afya usiku ni lazima uitafute Tegeta au Masana Hospitali
Worse enough hata kusema kwamba ujenge nyumba za wapangaji huwezi maana watu wengi kule wanaishi kwenye nyumba zao. Kwa hiyo bei ningeelewa kama ingekuwa karibu na Hospitali au Chuo
Nimewaza vizuri au kuna namna nimekengeuka?