Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nilishasahau kabisa kesi muhimu!Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
Hukumu tayari kwani serikali haiwezi kukubali kuwapoteza wabunge hao kutokana na hitaji la kikatiba la Kamati za Bunge.Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
ngoja tuendelee kukusanya ushahidiHuyo the so called Judge usitegemee kitu Ni Jaji wa UPE wa serikali
Ndugu yafaa uache kujitoa ufahamu.Chadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545]Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
AminaMungu ibariki CHADEMA [emoji1545]
Kwa mahakama ya Tanzania, tusitegemee miujiza... Majaji wote ni Ccm.Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
Mungu ibariki TanzaniaKwa mahakama ya Tanzania, tusitegemee miujiza... Majaji wote ni Ccm.
Hata yule aliyesema JPM ana file Mirembe, ni CHADEMA?Chadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
unampenda!Halima Mdee anaitesa sana Chadema