akili hunaSijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!